Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lipumba kutua Mtwara

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba, anatarajiwa kuwasili Mtwara mjini kesho akitokea Mtwara Vijijini alikofanya ziara ya kikazi. Lipumba yuko katika ziara ya kikazi ya kuzunguka mkoa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Prof. Lipumba kunguruma Mtwara

Aandaliwa mapokezi makubwaBaada ya serikali kutangaza kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara katika mikoa ya Kusini ya Mtwara na Lindi kwa takribani mwaka mmoja, Chama cha Wananchi (CUF) Mkoa wa Mtwara, kinafanya maandalizi ya kumpokea Mwenyekiti wa chama hicho, Prof, Ibrahim Lipumba, ambaye atafanya mikutano ya hadhara miwili mjini Mtwara.

Kiongozi huyo ambaye yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi, anatarajiwa kuwasili Mtwara mjini Oktoba 13, mwaka huu.

Akizungumza na NIPASHE katika ofisi za CUF...

 

11 years ago

Michuzi

Mtwara Festival kufanyika Agosti 16-17, 2014 kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara.


Bw. Anic Kashasha, Mwenyekiti Mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali Tanzania Creative Industries Network (TACIN) ya Dar es Salaam, nilikuwa ninahutubia mkutano wa waandishi wahabari kwenye ukumbi wa Safari Lounge, mjini Mtwara, juu ya kuanzisha Mtwara Festival, utakaofanyika tarehe 16 - 17 Agosti, 2014 kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona,Mtwara.
Mtwara Festival imeandaliwa kwa kushirikiana na washirika wakuu na wadhamini wa TACIN, Shirika la maendeleo ya Petroli  Tanzania (TPDC). Huu ni...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

“Azimio la Mtwara” Speech by Zitto Kabwe: Mtwara, 31-12-14

View this document on Scribd

PICHA

"Azimio la Mtwara" tarehe 31-12-2014 Zitto Kabwe na Prof. Ibrahim Lipumba

“Azimio la Mtwara” tarehe 31-12-2014 Zitto Kabwe na Prof. Ibrahim Lipumba

 


 

11 years ago

Michuzi

Wakazi wa Mtwara na Lindi kushuhudia fursa za Utalii na Uchumi kupitia Tamasha la Utamaduni la Mtwara,Waziri mkuu pinda kuwa mgeni rasmi.

 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Tamasha la Mkoa wa Mtwara, ‘Mtwara Festival’, linatarajia kufungua milango ya fursa kwa wakazi wa mikoa ya Mtwara na Lindi katika kuziona fursa kadhaa kwenye sekta ya Utalii na Uchumi.Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia mwezi Agosti 16 na 17 mwaka huu kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona  ulipo Mtwara mjini. Mgeni rasmi katika Tamasha hilo anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda huku likiwa na kauli mbiu isemayo ‘Fursa Zimefunguka,...

 

10 years ago

Mtanzania

Ne-Yo kutua Kenya

ne-yoNAIROBI, Kenya

NYOTA wa mziki wa RnB nchini Marekani, Shaffer Smith ‘Ne-Yo’ anatarajia kuwasili nchini Kenya Agosti 19, mwaka huu, kwa ajili ya tamasha la Coke Studio Africa, lakini mpaka sasa bado haijajulikana kwamba litafanyika kwenye ukumbi gani.

Mwezi uliopita msanii huyo alikuwa nchini Afrika Kusini katika tamasha la tuzo za MTV MAMA, hivyo hii itakuwa ni mara ya pili kwa msanii huyo kutua Afrika.

“Nitakuwepo nchini Kenya muda mfupi ujayo, mashabiki wakae tayari kuwa pamoja Agosti 19...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maximo kutua leo

KOCHA mpya wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, anatarajiwa kutua jijini Dar es Salaam leo, akiwa na msaidizi wake Leonardo Neiva kwa ajili ya kuanza kibarua katika klabu hiyo. Maximo, kocha...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge 50 kutua ACT

Kiongozi wa Chama cha ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe amesema zaidi ya wabunge 50 wa vyama mbalimbali vya siasa nchini watajiunga na chama hicho kipya na kugombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani