Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maximo kutua leo

KOCHA mpya wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, anatarajiwa kutua jijini Dar es Salaam leo, akiwa na msaidizi wake Leonardo Neiva kwa ajili ya kuanza kibarua katika klabu hiyo. Maximo, kocha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Stars kutua Msumbiji leo

MSAFARA wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars unatarajiwa kuondoka leo jioni Afrika Kusini kwenda Msumbiji tayari kwa mechi ya keshokutwa kuwania tiketi ya kuingia kundi F, kupigania nafasi...

 

11 years ago

GPL

OKWI KUTUA LEO SAA 9:30

Emmanuel Okwi. Mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Uganda Emmanuel Okwi anatarajiwa kutua leo mchana majira ya saa 9:30 katika uwanja wa ndege wa Mwalimu JK Nyererer akitokea nchini Uganda kwa shirika la ndege la Rwanda. Hii ni taarifa rasmi kwa wapenzi wa soka, wanacham na mashabiki kuwa rasmi mchezaji huyo atawasili leo na kupokelewa na viongozi wa klabu ya Yanga pamoja na mashabiki na wanachama kwa ujumla. Ujio wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Papa Francis kutua Kenya leo

PopeFrancis-8NAIROBI, Kenya

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, anatarajiwa kuwasili Kenya leo jioni kwa ziara ya siku tatu.

Wakati huohuo,  Serikali ya Kenya imetangaza kesho kuwa mapumziko maalumu kwa ibada itakayoongozwa na kiongozi huyo.

Papa anatarajiwa kugusa ardhi ya Kenya saa 11 jioni  ndege yake itakapotua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairoibi.

Atakuwa Kenya kwa ziara ya siku tatu kabla ya kwenda Uganda keshokutwa  na baadaye  Jamhuri ya Afrika ya Kati...

 

11 years ago

Mtanzania

Patrick Phiri kutua leo nchini

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mpya wa Simba, Patrick Phiri, anatarajia kutua leo nchini na kukabidhiwa mikoba ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mcroatia Zdravko Logarusic, aliyefungashiwa virago vyake mwishoni mwa wiki iliyopita.

Phiri anatarajia kuwasili majira ya saa 8 mchana kwa ndege ya Shirika la Ndege la Fastjet akitokea nchini kwao Zambia.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, alithibitisha ujio wa kocha huyo leo,...

 

11 years ago

Mwananchi

Kifimbo cha Malkia kutua leo

Wadau wa michezo zaidi ya 367 wanatarajiwa kukimbiza kifimbo cha Malkia wa Uingereza kinachowasili nchini leo mchana.

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Mwambusi kutua Yanga leo

Safari ya kocha wa Mbeya City kutua Yanga imeiva baada ya jana kuwaaga rasmi wachezaji wake mazoezini.

 

11 years ago

GPL

YEMI ALADE KUTUA BONGO LEO

Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Mkali wa ngoma ya Johnny, Yemi Alade, hatimaye anatarajiwa kutua Bongo saa tano usiku, leo Jumanne, Agosti 5, 2014 tayari kwa kukinukisha kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini ambalo limebakiza siku chache kabla ya kutimua vumbi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Agosti 8, 2014. Mkali wa ngoma ya Johnny kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade. Akipiga stori na Showbiz, mratibu wa tamasha hilo,...

 

11 years ago

Habarileo

Waziri Mkuu Finland kutua leo

WAZIRI Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen atafanya ziara ya kikazi nchini ya siku mbili kuanzia kesho. Katainen anategemewa kuwasili leo usiku akitokea Addis Ababa, Ethiopia, na kesho atafanyiwa mapokezi rasmi na mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

GPL

IDRIS KUTUA LEO SAA 12:30 JIONI

MSHINDI wa zaidi ya milioni 500 za shindano la Big Brother Hotshots, Idris Sultan anatarajia kutua nchini leo saa 12:30 jioni akitokea Afrika Kusini alipokuwa anashiriki shindano hilo lililomalizika Jumapili iliyopita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani