Patrick Phiri kutua leo nchini
Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mpya wa Simba, Patrick Phiri, anatarajia kutua leo nchini na kukabidhiwa mikoba ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mcroatia Zdravko Logarusic, aliyefungashiwa virago vyake mwishoni mwa wiki iliyopita.
Phiri anatarajia kuwasili majira ya saa 8 mchana kwa ndege ya Shirika la Ndege la Fastjet akitokea nchini kwao Zambia.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, alithibitisha ujio wa kocha huyo leo,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-4RLcSt4W2js/U-m2KV4qlsI/AAAAAAAF-z0/K1wQKt_FOvU/s72-c/PATRICK+PHIRI.jpg)
kocha patrick phiri wa zambia kutua dar es salaam ijumaa tayari kuinoa simba SC
![](http://1.bp.blogspot.com/-4RLcSt4W2js/U-m2KV4qlsI/AAAAAAAF-z0/K1wQKt_FOvU/s1600/PATRICK+PHIRI.jpg)
Phiri ni kocha anayekubalika zaidi mbele ya mashabiki wa Simba SC miongoni mwa makocha waliowahi kufundisha klabu hiyo- rekodi yake ya kukumbukwa zaidi ikiwa ni kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2009/2010 bila kufungwa hata...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-PVA1p0mIlDE/VKK_GEN3v_I/AAAAAAAG6nE/CzC-8-jfo60/s72-c/PatrickPh1.jpg)
WAGANDA WAMPONZA PHIRI, GORAN KUTUA LEO!!
![](http://4.bp.blogspot.com/-PVA1p0mIlDE/VKK_GEN3v_I/AAAAAAAG6nE/CzC-8-jfo60/s1600/PatrickPh1.jpg)
Habari za uhakika kutoka Simba zinasema kuwa uongozi wa klabu hiyo chini ya mwenyekiti wake Evans Aveva uliketi juzi usiku majira ya saa mbili na kikao kumalizika saa saba usiku kwa maazimio ya kumfukuza Phiri na jana jioni alikabidhiwa rasmi barua yake ya kuachishwa kazi na nafasi yake...
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Patrick Phiri: Tutaponea kwa Yanga
KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia Patrick Phiri,amesema mechi yao dhidi ya Yanga itakayopigwa Oktoba 18, ndio itakuwa kipimo cha mwisho kwao kwa msimu huu. Kauli hiyo ya Phiri ni kutokana...
9 years ago
Habarileo14 Aug
Wakali Sauti Sol kutua nchini leo
WANAMUZIKI wa kimataifa watakaoshiriki katika tamasha kubwa la muziki la Party in the Park litakalofanyika kesho Jumamosi jijini Dar es Salaam wanawasili nchini leo tayari kwa onesho hilo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ct4BimYh7MiQiwIzvChtRy0RS1nfLr*AYnpixsifbxGR99mz*a3fltiTyX1eTVbINmu9*s4WdyjOQpSYLvBx6GCyWrA14nUV/2malaikaband3.jpg?width=650)
CHRISTIAN BELLA KUTUA LEO NCHINI, TAYARI KWA SHOO YAKE JUMAMOSI HII DAR LIVE
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Barcelona kutua nchini Desemba
10 years ago
MichuziUJUMBE WA TPDF WATEMBELEA OFISINI KWA BALOZI PATRICK TSERE NCHINI MALAWI
10 years ago
Jamtz.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-M-euskEyWVY/VCFUGEJWyyI/AAAAAAAABKc/zc0l9NwJA40/s72-c/j3.jpg)
AKIWA KIFUNGONI NCHINI CHINA, JACKY PATRICK ATUMA UJUMBE KWA WATANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-M-euskEyWVY/VCFUGEJWyyI/AAAAAAAABKc/zc0l9NwJA40/s1600/j3.jpg)
MWANAMITINDO wa Bongo aliyepo nyuma ya nondo huko Macau, Hong Kong nchini China akitumikia kifungo cha miaka sita baada ya kukutwa na hatia ya kubeba madawa ya kulevya ‘unga’, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ ametuma ujumbe mzito kwa mashabiki wake.
Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili, rafiki wa karibu wa Jack ambaye hakupenda jina lichorwe gazetini, alisema kwamba mwanamitindo huyo amekuwa akimuandikia barua mara kwa mara lakini safari hii ametaka ujumbe wake uwafikie...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Wataalamu maradhi ya mgongo kutua nchini
WATAALAMU wa maradhi ya mgongo, magoti na nyonga kutoka India wanatarajiwa kuwasili nchini wiki hii kwa lengo la kuwachunguza watu wenye maradhi hayo. Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Hospitali ya...