Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Patrick Phiri: Tutaponea kwa Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia Patrick Phiri,amesema mechi yao dhidi ya Yanga itakayopigwa Oktoba 18, ndio itakuwa kipimo cha mwisho kwao kwa msimu huu. Kauli hiyo ya Phiri ni kutokana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Patrick Phiri kutua leo nchini

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mpya wa Simba, Patrick Phiri, anatarajia kutua leo nchini na kukabidhiwa mikoba ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mcroatia Zdravko Logarusic, aliyefungashiwa virago vyake mwishoni mwa wiki iliyopita.

Phiri anatarajia kuwasili majira ya saa 8 mchana kwa ndege ya Shirika la Ndege la Fastjet akitokea nchini kwao Zambia.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, alithibitisha ujio wa kocha huyo leo,...

 

11 years ago

Michuzi

kocha patrick phiri wa zambia kutua dar es salaam ijumaa tayari kuinoa simba SC

Na Bin ZubeiryMazungumzo yamekwishanyika na makubaliano yamefikiwa baina ya Patrick Phiri kutoka Zambia (pichani)  na Simba SC na sasa atakuja kufanya kazi tena Msimbazi, akisaidiwa na Nahodha wake enzi zake akifundisha timu hiyo, Suleiman Abdallah Matola ‘Osama’.

Phiri ni kocha anayekubalika zaidi mbele ya mashabiki wa Simba SC miongoni mwa makocha waliowahi kufundisha klabu hiyo- rekodi yake ya kukumbukwa zaidi ikiwa ni kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2009/2010 bila kufungwa hata...

 

11 years ago

Mwananchi

Mipango ya Yanga yamkera Phiri

Ujio wa Yanga katika kisiwa cha Unguja  umeonekana kutomfurahisha kocha wa Simba,  Patrick Phiri akisema hatahudhuria mechi yao ya  kirafiki itakayochezwa kesho kwenye Uwanja wa  Amaani. Phiri amekasirishwa na kitendo cha Yanga kucheza  mechi yao dhidi ya mabingwa wa Zanzibar, KMKM  siku ambayo Simba pia ina mechi kwenye uwanja huo  huo.

 

11 years ago

Vijimambo

Phiri: Rekodi itaiua Yanga

Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, amesema rekodi yake nzuri katika mechi dhidi ya watani wa jadi ndiyo 'itakayowamaliza' wapinzani wao Yanga katika mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ambayo itafanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Simba iko jijini Johannesburg, Afrika Kusini kujiandaa na mchezo huo ambao huvuta hisia za mashabiki wa soka ndani na nje ya nchi.

Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hili, Phiri ambaye katika misimu miwili...

 

11 years ago

TheCitizen

Shocking results for Azam, Yanga as Phiri faces exit

After a series of poor performances, newly promoted team, Ndanda Football Club has shocked the league defending champions, Azam FC following 1-0 victory at Nangwanda Sijaona Stadium in Mtwara Region.

 

10 years ago

GPL

TIFF: KWA JACK PATRICK NILIPOTEA NJIA

Abdulatif Fundikira ‘Tiff’ na mkewe wa zamani,  Jacqueline Patrick Imelda Mtema Mume wa Miss Tanzania 2011, Salha Israel, Abdulatif Fundikira ‘Tiff’ ameibuka na kusema kuwa kwa mkewe wa zamani, Jacqueline Patrick alipotea njia hivyo anashukuru Mungu sasa amefika panapostahili. Miss Tanzania 2011, Salha Israel Akichonga na Ijumaa  Tiff alisema kuwa kwa mkewe Salha amefika na kutokana na huduma...

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri aisifu Kagera kwa kuwachapa

Kocha wa Simba, Patrick Phiri ameipongeza timu ya Kagera Sugar kwa kuibuka na ushindi dhidi ya timu yake na akidai kuwa kikosi chake kilikosa bahati kwenye mchezo huo wa juzi.

 

11 years ago

GPL

Maximo, Phiri waungana... kwa Jaja, Okwi

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wibert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, ameungana na Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, kuilalamikia safu yake ya ushambuliaji inayoshindwa kutumia vyema nafasi nyingi inazopata uwanjani. Phiri ndiye alikuwa kocha wa kwanza kuilalamikia safu yake ya ushambuliaji inayoongozwa na Mganda, Emmanuel Okwi, Amissi Tambwe na Paul Kiongera.Safu ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Phiri: Okwi ana deni kubwa kwa wanasimba

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amemwambia mshambuliaji, Emmanuel Okwi kuwa ana deni kubwa kwa Wanasimba ambalo anapaswa kulilipa kwa uwezo wake wa kutandaza soka uwanjani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani