Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Phiri: Rekodi itaiua Yanga

Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, amesema rekodi yake nzuri katika mechi dhidi ya watani wa jadi ndiyo 'itakayowamaliza' wapinzani wao Yanga katika mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ambayo itafanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Simba iko jijini Johannesburg, Afrika Kusini kujiandaa na mchezo huo ambao huvuta hisia za mashabiki wa soka ndani na nje ya nchi.

Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hili, Phiri ambaye katika misimu miwili...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mipango ya Yanga yamkera Phiri

Ujio wa Yanga katika kisiwa cha Unguja  umeonekana kutomfurahisha kocha wa Simba,  Patrick Phiri akisema hatahudhuria mechi yao ya  kirafiki itakayochezwa kesho kwenye Uwanja wa  Amaani. Phiri amekasirishwa na kitendo cha Yanga kucheza  mechi yao dhidi ya mabingwa wa Zanzibar, KMKM  siku ambayo Simba pia ina mechi kwenye uwanja huo  huo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Patrick Phiri: Tutaponea kwa Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia Patrick Phiri,amesema mechi yao dhidi ya Yanga itakayopigwa Oktoba 18, ndio itakuwa kipimo cha mwisho kwao kwa msimu huu. Kauli hiyo ya Phiri ni kutokana...

 

10 years ago

TheCitizen

Shocking results for Azam, Yanga as Phiri faces exit

After a series of poor performances, newly promoted team, Ndanda Football Club has shocked the league defending champions, Azam FC following 1-0 victory at Nangwanda Sijaona Stadium in Mtwara Region.

 

11 years ago

Mwananchi

Azam, Coastal, Yanga zasaka rekodi

Azam, Coastal Union na Yanga zinashindana kusaka rekodi za kipekee katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu.

 

11 years ago

GPL

Pluijm aweka rekodi ya pekee Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Sweetbert Lukonge
BAADA ya juzi Jumamosi kuiongoza Yanga kuitandika Ruvu Shooting mabao 7-0, Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amefanikiwa kuandika rekodi ya pekee kwa muda mfupi akiwa na klabu hiyo kuliko makocha wengine wa kigeni waliowahi kuifundisha timu hiyo. Pluijm ambaye alijiunga na Yanga hivi karibuni akichukua mikoba ya Mholanzi mwenzake, Ernie Brandts, ameweza...

 

11 years ago

GPL

Kocha Yanga aweka rekodi Uturuki

Kocha mpya wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Mwandishi Wetu
KOCHA mpya wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameweka rekodi mpya akiwa na klabu yake hiyo nchini Uturuki. Kocha huyo Mholanzi ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza wa klabu kutoka nje ya Tanzania kuvaa sare ya timu ya taifa, Taifa Stars. Kwa kipindi chote ambacho Yanga wamekuwa nchini Uturuki, van Der Pluijm amekuwa akivaa koti la Taifa Stars ambalo huvaliwa na...

 

9 years ago

Vijimambo

YANGA YAENDELEZA REKODI YA KUWACHAPA MBEYA CITY


Miamba ya kandanda Tanzania bara, Dar es salaam Young Africans imeendelea kuinyanyasa Mbeya City FC baada ya jioni ya leo kuichapa 3-2 katika mechi ya kirafiki iliyochezwa uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.Magoli ya Yanga yamefungwa na Mbrazil, Andrey Coutinho, Mrundi, Amissi Tambwe na Mzimbabwe, Donald Ngoma, wakati magoli ya Mbeya City yamefungwa na Bakari Mwinjuma na Meshack Samuel.Hiki ni kipigo cha tatu cha aina hiyo kwani msimu uliopita katika mechi mbili za ligi kuu, Yanga ilishinda 3-1...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yaisaka rekodi ya Simba kombe la Kagame

Yanga itashiriki kwenye Mashindano ya Kombe la Klabu Bingwa Afrika Mashariki (Kagame Cup) yatakayofanyika hapa nchini kuanzia mwezi Julai baada ya Tanzania kupewa uenyeji wa mashindano hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani