Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yaisaka rekodi ya Simba kombe la Kagame

Yanga itashiriki kwenye Mashindano ya Kombe la Klabu Bingwa Afrika Mashariki (Kagame Cup) yatakayofanyika hapa nchini kuanzia mwezi Julai baada ya Tanzania kupewa uenyeji wa mashindano hayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

YANGA YAJIWINDA NA KOMBE LA KAGAME

Kocha Hans van Pluijm (mwenye kofia) akiwapa maelekezo wachezaji wake. Kocha Msaidizi, Charles Boniface Mkwasa, akitoa maelekezo kwa wachezaji.
Mchezaji mpya wa Yanga, Lansana…

 

10 years ago

Michuzi

KOMBE LA KAGAME: YANGA YAIFUNGA KMKM 2-0

 Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimtoka beki wa KMKM, Khamis Ali Khamis wakati wa mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 2-0. Deus Kaseke akiwatoka wachezaji wa KMKM. Golikipa wa timu ya KMKM ya Zanzibar, Nassor Abdulla Nassor akiokoa moja ya hatari langoni mwake wakati timu yake ilipopambana na Yanga katika mchezo wa Kombe la Kagame.Donald Ngoma (kulia) akiwania na beki wa KMKM, Khamis Ali Khamis.Mashabiki wa Yanga...

 

10 years ago

Vijimambo

Kazi ya kuliwinda kombe la Kagame yaanza Yanga



MABINGWA wa kandanda Tanzania bara, Young Africans kesho wanatarajia kuanza maandalizi ya ligi kuu msimu ujao pamoja na kombe la Kagame linalotarajia kuanza kutimua vumbi jijini Dar es salaam Julai 11 mwaka huu.Katibu mkuu wa Yanga, Dr. Jonas Tiboroha amesema mazoezi hayo yatakuwa yanafanyika uwanja wa Karume, Ilala, Dar es salaam chini ya kocha mkuu, Mholanzi, Hans van der Pluijm aliyetua Dar usiku wa kuamkia leo akitokea kwake nchini Ghana.
“Kazi imeanza, kesho asubuhi mazoezi ya kwanza...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yaendeleza 'siasa' mashindano ya Kombe la Kagame

Uongozi wa Yanga umetaja sababu nane zilizowafanya kutaka kupelekea kikosi chenye idadi kubwa ya wachezaji wa timu yao ya vijana (Yanga B) katika mashindano ya Kombe la Kagame yanayoanza kesho mjini Kigali, Rwanda.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yaibania Simba Kagame

Dar es Salaam. Uongozi wa Yanga una mpango wa kutoshiriki mashindano ya Kombe la Kagame endapo Baraza la Vyama vya Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) litakiuka utaratibu kwa kuiteua Simba kushiriki michuano hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Kombe la Mapinduzi lilete tija Yanga, Azam, Simba

Inawezekana kuhoji mashindano haya ya Kombe la Mapinduzi yaliyoanza jana kisiwani Zanzibar na kushirikisha timu mbalimbali, zikiwamo za Ligi Kuu ya Bara, yana manufaa gani kwa maendeleo ya soka?

 

11 years ago

GPL

KUWAONA SIMBA NA YANGA BUKU 5, AZAM KUKABIDHIWA KOMBE CHAMAZI

Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inafikia tamati kesho (Aprili 19 mwaka huu) kwa timu zote 14 kuwa viwanjani, huku mabingwa wapya Azam wakikabidhiwa kombe lao Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam katika mechi yao dhidi ya JKT Ruvu. Mechi zote saba zitachezwa kuanzia saa 10 kamili jioni ambapo Yanga na Simba zitakuwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa mechi ambayo viingilio vyake ni sh. 5,000...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani