Kazi ya kuliwinda kombe la Kagame yaanza Yanga
MABINGWA wa kandanda Tanzania bara, Young Africans kesho wanatarajia kuanza maandalizi ya ligi kuu msimu ujao pamoja na kombe la Kagame linalotarajia kuanza kutimua vumbi jijini Dar es salaam Julai 11 mwaka huu.Katibu mkuu wa Yanga, Dr. Jonas Tiboroha amesema mazoezi hayo yatakuwa yanafanyika uwanja wa Karume, Ilala, Dar es salaam chini ya kocha mkuu, Mholanzi, Hans van der Pluijm aliyetua Dar usiku wa kuamkia leo akitokea kwake nchini Ghana.
“Kazi imeanza, kesho asubuhi mazoezi ya kwanza...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLYANGA YAJIWINDA NA KOMBE LA KAGAME
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziKOMBE LA KAGAME: YANGA YAIFUNGA KMKM 2-0
10 years ago
Mwananchi29 Jun
Yanga yaisaka rekodi ya Simba kombe la Kagame
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Yanga yaendeleza 'siasa' mashindano ya Kombe la Kagame
9 years ago
Mwananchi13 Sep
Yanga yaanza kazi kwa Coastal leo
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Azam FC yaanza vyema Kagame
TIMU ya soka Azam FC jana imeanza vyema michuano ya Kombe Kagame Cup, baada ya kupata ushindi mwembamba wa bao 1-0, dhidi ya KCCA ya Uganda, Uwanja Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezo huo wa kwanza kwa Azam FC, msimu huu uliwachukua dakika ya 12 ya kuandika bao la kwanza lililowekwa kimiani na nahodha wao John Bocco ‘Adebayor’ aliyepokea pasi ya Shomari Kapombe.
Azam, walitengeneza nafasi nyingi za katika kipindi cha kwanza, lakini ukosefu umakini kwa safu ya ushambuliaji ndio...
10 years ago
Mwananchi29 Jul
KOMBE LA KAGAME: Lazima tuwanyooshe
9 years ago
Habarileo29 Nov
Kombe la Kagame kufanyika Z’bar
CHAMA cha soka Zanzibar (ZFA ) kimethibitisha kuwa Zanzibar itakuwa mwenyeji wa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ‘Kombe la Kagame’ Julai mwakani.