Kocha Yanga aweka rekodi Uturuki
![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5QcoBStP3tP-JLaTqTQffAa3fBwMPtReOu4xmc0GmJ5rw0VlvOYo8e70sMHR4nwgyzbeXTWfc9moldwA4Z43ST*n/yangaaaaaaaaa.jpg?width=650)
Kocha mpya wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Mwandishi Wetu KOCHA mpya wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameweka rekodi mpya akiwa na klabu yake hiyo nchini Uturuki. Kocha huyo Mholanzi ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza wa klabu kutoka nje ya Tanzania kuvaa sare ya timu ya taifa, Taifa Stars. Kwa kipindi chote ambacho Yanga wamekuwa nchini Uturuki, van Der Pluijm amekuwa akivaa koti la Taifa Stars ambalo huvaliwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VMB94olbxS264GgkD66z3JVAoELia3YEuRJkIKrJVWyvGly0YmJxCRtOezZwDEoRQL4glPmlu*W0MXLpe-B7SV2iXwkaQCdi/yanga.jpg?width=650)
Pluijm aweka rekodi ya pekee Yanga
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Ronaldo ajivunjia rekodi, aweka rekodi mpya
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji bora wa dunia mwaka 2014 na mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (pichani)ameweka rekodi mpya katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA baada ya hapo jana kufunga goli 4 katika mchezo kati ya Real na Malmo.
Magoli ya Ronaldo yalifungwa katika dakika ya 39, 47, 50 na 58 na kufanikiwa kufikisha magoli 11 katika michezo ya makundi rekodi ambayo ilikuwa haijawahi kufikiwa na mchezaji yoyote.
Kabla ya kuweka rekodi hiyo mpya, Ronaldo alikuwa na...
9 years ago
Habarileo09 Sep
Magufuli aweka rekodi
MAELFU ya watu wanaokwenda katika mikutano ya mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli imeanza kusimamisha shughuli za miji mbalimbali anayokwenda.
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Diamond aweka rekodi Channel O
5 years ago
Mwananchi27 Feb
Kagame aweka rekodi ya ushindi
9 years ago
Habarileo18 Oct
Dk Magufuli aweka rekodi Mwanza
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amefanya mkutano mkubwa na wa kihistoria katika Jiji la Mwanza na kuahidi kuubadilisha mji huo kuwa mithili ya ule wa Geneva wa nchini Uswisi.
10 years ago
BBCSwahili26 Mar
Mtoto wa miaka 2 aweka rekodi India
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39eGy*mUm4DVJjc1Xd9CyK85GxAKeKWdl4ERaqUJ8V19**HGAeI9itSSWw8NE5S8R7ECKxpG9tN3Pm0**7oYffMc/simba2.gif?width=650)
Aveva aweka rekodi ya urais Simba
10 years ago
BBCSwahili28 Sep
Mkenya aweka rekodi mpya ya Marathon