Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aveva aweka rekodi ya urais Simba

Aveva akiwasili mtaa wa Msimbazi kwa msafara. Na Sweetbert Lukonge
MWANACHAMA wa Simba, Evance Aveva, jana ameweka rekodi ya pekee katika klabu hiyo wakati alipokwenda kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya urais. Rekodi hiyo ameiweka baada ya maelfu ya wanachama, wapenzi na mashabiki wa Simba kujitokeza na kumsindikiza kwenda makao makuu ya klabu hiyo kwa lengo la kuchukua fomu hiyo kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Juni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

EVANS AVEVA AMALIZA KAMPENI ZA URAIS SIMBA KWA KISHINDO

 Mgombea wa nafasi ya urais Evans Aveva, akiwa na Mlinzi wake 'Board Guard' (nyuma) akijinadi kwa wanachama, wakati wa mkutano wake wa kampeni za mwisho na waandishi wa habari kuelekea uchaguzi mkuu wa Klabu hiyo kesho, kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuiongoza Klabu ya Simba kwa kipindi kijacho cha miaka minne. Hitimisho hilo la kampeni zake limefanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam.   Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali, akimnadi mgombea Urais Evans...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ronaldo ajivunjia rekodi, aweka rekodi mpya

IGxwi

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mchezaji bora wa dunia mwaka 2014 na mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (pichani)ameweka rekodi mpya katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA baada ya hapo jana kufunga goli 4 katika mchezo kati ya Real na Malmo.

Magoli ya Ronaldo yalifungwa katika dakika ya 39, 47, 50 na 58 na kufanikiwa kufikisha magoli 11 katika michezo ya makundi rekodi ambayo ilikuwa haijawahi kufikiwa na mchezaji yoyote.

Kabla ya kuweka rekodi hiyo mpya, Ronaldo alikuwa na...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli aweka rekodi

MAELFU ya watu wanaokwenda katika mikutano ya mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli imeanza kusimamisha shughuli za miji mbalimbali anayokwenda.

 

9 years ago

Habarileo

Dk Magufuli aweka rekodi Mwanza

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amefanya mkutano mkubwa na wa kihistoria katika Jiji la Mwanza na kuahidi kuubadilisha mji huo kuwa mithili ya ule wa Geneva wa nchini Uswisi.

 

5 years ago

Mwananchi

Kagame aweka rekodi ya ushindi

Rais Paul Kagame wa Rwanda amefanikiwa kutetea kiti chake cha urais baada ya kushinda kwa asilimia 98.6 ya kura zilizopigwa na hivyo kuvunja rekodi ya ushindi aliyoiweka katika chaguzi mbili zilizopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Diamond aweka rekodi Channel O

Mwanamuziki wa Tanzania, Diamond Platnumz amesema anajivunia kuandika historia mpya kwenye ramani ya muziki wa Afrika, baada ya kuvunja rekodi na kunyakua tuzo tatu za Channel O usiku wa kuamkia jana katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Narsec Expo Centrem nchini Afrika Kusini.

 

11 years ago

GPL

Pluijm aweka rekodi ya pekee Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Sweetbert Lukonge
BAADA ya juzi Jumamosi kuiongoza Yanga kuitandika Ruvu Shooting mabao 7-0, Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amefanikiwa kuandika rekodi ya pekee kwa muda mfupi akiwa na klabu hiyo kuliko makocha wengine wa kigeni waliowahi kuifundisha timu hiyo. Pluijm ambaye alijiunga na Yanga hivi karibuni akichukua mikoba ya Mholanzi mwenzake, Ernie Brandts, ameweza...

 

9 years ago

Mwananchi

JPM aweka rekodi ya siku 25 ya mawaziri

Rais John Pombe Magufuli amekuwa wa kwanza tangu mfumo wa vyama vingi kuanza nchini kutumia muda mrefu kutangaza Baraza la Mawazi kutokana na kile wasomi, wachambuzi wa siasa kusema pengine anapata wakati mgumu kupata mawaziri watakaoendana na kasi yake.

 

11 years ago

GPL

Kocha Yanga aweka rekodi Uturuki

Kocha mpya wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Mwandishi Wetu
KOCHA mpya wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameweka rekodi mpya akiwa na klabu yake hiyo nchini Uturuki. Kocha huyo Mholanzi ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza wa klabu kutoka nje ya Tanzania kuvaa sare ya timu ya taifa, Taifa Stars. Kwa kipindi chote ambacho Yanga wamekuwa nchini Uturuki, van Der Pluijm amekuwa akivaa koti la Taifa Stars ambalo huvaliwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani