Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JPM aweka rekodi ya siku 25 ya mawaziri

Rais John Pombe Magufuli amekuwa wa kwanza tangu mfumo wa vyama vingi kuanza nchini kutumia muda mrefu kutangaza Baraza la Mawazi kutokana na kile wasomi, wachambuzi wa siasa kusema pengine anapata wakati mgumu kupata mawaziri watakaoendana na kasi yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Siku 16, maagizo 40 ya mawaziri wa JPM

Huu ndiyo ukweli. Leo zimetimia siku 16 tangu kuapishwa kwa mawaziri 30 wa Serikali ya Awamu ya Tano, lakini tayari wameshatoa matamko 40 kwa watendaji wa Serikali, taasisi na mashirika yaliyopo chini ya wizara zao.

 

9 years ago

Dewji Blog

Ronaldo ajivunjia rekodi, aweka rekodi mpya

IGxwi

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mchezaji bora wa dunia mwaka 2014 na mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (pichani)ameweka rekodi mpya katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA baada ya hapo jana kufunga goli 4 katika mchezo kati ya Real na Malmo.

Magoli ya Ronaldo yalifungwa katika dakika ya 39, 47, 50 na 58 na kufanikiwa kufikisha magoli 11 katika michezo ya makundi rekodi ambayo ilikuwa haijawahi kufikiwa na mchezaji yoyote.

Kabla ya kuweka rekodi hiyo mpya, Ronaldo alikuwa na...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli aweka rekodi

MAELFU ya watu wanaokwenda katika mikutano ya mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli imeanza kusimamisha shughuli za miji mbalimbali anayokwenda.

 

5 years ago

Mwananchi

Kagame aweka rekodi ya ushindi

Rais Paul Kagame wa Rwanda amefanikiwa kutetea kiti chake cha urais baada ya kushinda kwa asilimia 98.6 ya kura zilizopigwa na hivyo kuvunja rekodi ya ushindi aliyoiweka katika chaguzi mbili zilizopita.

 

9 years ago

Habarileo

Dk Magufuli aweka rekodi Mwanza

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amefanya mkutano mkubwa na wa kihistoria katika Jiji la Mwanza na kuahidi kuubadilisha mji huo kuwa mithili ya ule wa Geneva wa nchini Uswisi.

 

10 years ago

Mwananchi

Diamond aweka rekodi Channel O

Mwanamuziki wa Tanzania, Diamond Platnumz amesema anajivunia kuandika historia mpya kwenye ramani ya muziki wa Afrika, baada ya kuvunja rekodi na kunyakua tuzo tatu za Channel O usiku wa kuamkia jana katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Narsec Expo Centrem nchini Afrika Kusini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkenya aweka rekodi mpya ya Marathon

Mwanariadha wa Kenya Dennis Kimeto amevunja rekodi ya dunia katika mbio za Marathon mapema leo mjini Berlin nchini Ujerumani.

 

11 years ago

GPL

Aveva aweka rekodi ya urais Simba

Aveva akiwasili mtaa wa Msimbazi kwa msafara. Na Sweetbert Lukonge
MWANACHAMA wa Simba, Evance Aveva, jana ameweka rekodi ya pekee katika klabu hiyo wakati alipokwenda kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya urais. Rekodi hiyo ameiweka baada ya maelfu ya wanachama, wapenzi na mashabiki wa Simba kujitokeza na kumsindikiza kwenda makao makuu ya klabu hiyo kwa lengo la kuchukua fomu hiyo kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Juni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka 2 aweka rekodi India

Amini usiamini mtoto mwenye umri wa miaka miwili ameweka rekodi ya taifa ya ulengaji shabaha kwa mishale nchini India.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani