Pluijm aweka rekodi ya pekee Yanga
![](http://api.ning.com:80/files/VMB94olbxS264GgkD66z3JVAoELia3YEuRJkIKrJVWyvGly0YmJxCRtOezZwDEoRQL4glPmlu*W0MXLpe-B7SV2iXwkaQCdi/yanga.jpg?width=650)
Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Sweetbert Lukonge BAADA ya juzi Jumamosi kuiongoza Yanga kuitandika Ruvu Shooting mabao 7-0, Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amefanikiwa kuandika rekodi ya pekee kwa muda mfupi akiwa na klabu hiyo kuliko makocha wengine wa kigeni waliowahi kuifundisha timu hiyo. Pluijm ambaye alijiunga na Yanga hivi karibuni akichukua mikoba ya Mholanzi mwenzake, Ernie Brandts, ameweza...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5QcoBStP3tP-JLaTqTQffAa3fBwMPtReOu4xmc0GmJ5rw0VlvOYo8e70sMHR4nwgyzbeXTWfc9moldwA4Z43ST*n/yangaaaaaaaaa.jpg?width=650)
Kocha Yanga aweka rekodi Uturuki
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Ronaldo ajivunjia rekodi, aweka rekodi mpya
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji bora wa dunia mwaka 2014 na mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (pichani)ameweka rekodi mpya katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA baada ya hapo jana kufunga goli 4 katika mchezo kati ya Real na Malmo.
Magoli ya Ronaldo yalifungwa katika dakika ya 39, 47, 50 na 58 na kufanikiwa kufikisha magoli 11 katika michezo ya makundi rekodi ambayo ilikuwa haijawahi kufikiwa na mchezaji yoyote.
Kabla ya kuweka rekodi hiyo mpya, Ronaldo alikuwa na...
9 years ago
Habarileo09 Sep
Magufuli aweka rekodi
MAELFU ya watu wanaokwenda katika mikutano ya mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli imeanza kusimamisha shughuli za miji mbalimbali anayokwenda.
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Diamond aweka rekodi Channel O
5 years ago
Mwananchi27 Feb
Kagame aweka rekodi ya ushindi
9 years ago
Habarileo18 Oct
Dk Magufuli aweka rekodi Mwanza
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amefanya mkutano mkubwa na wa kihistoria katika Jiji la Mwanza na kuahidi kuubadilisha mji huo kuwa mithili ya ule wa Geneva wa nchini Uswisi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39eGy*mUm4DVJjc1Xd9CyK85GxAKeKWdl4ERaqUJ8V19**HGAeI9itSSWw8NE5S8R7ECKxpG9tN3Pm0**7oYffMc/simba2.gif?width=650)
Aveva aweka rekodi ya urais Simba
10 years ago
BBCSwahili26 Mar
Mtoto wa miaka 2 aweka rekodi India
10 years ago
Vijimambo28 Sep
Mkenya aweka rekodi mpya ya Mbio
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2013/09/29/130929122846_kenyan_berlin_marathon_512x288_d_nocredit.jpg)
Rekodi ya awali iliwekwa na mkenya mwenzake Wilson Kipsang katika mbio hizo mwaka uliopita.