Mipango ya Yanga yamkera Phiri
Ujio wa Yanga katika kisiwa cha Unguja umeonekana kutomfurahisha kocha wa Simba, Patrick Phiri akisema hatahudhuria mechi yao ya kirafiki itakayochezwa kesho kwenye Uwanja wa Amaani. Phiri amekasirishwa na kitendo cha Yanga kucheza mechi yao dhidi ya mabingwa wa Zanzibar, KMKM siku ambayo Simba pia ina mechi kwenye uwanja huo huo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania02 Sep
Okwi apangua mipango ya Phiri
![Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Patrick-Phiri.jpg)
Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri
NA JENNIFER ULLEMBO
UJIO wa mshambuliaji, Emmanuel Okwi katika klabu ya Simba, umepangua mipango ya Kocha Mkuu wa timu ya Simba, Patrick Phiri, ambaye amelazimika kupangua kikosi chake alichokipanga kupitia mechi ya kirafiki dhidi ya KMKM.
Okwi alijiunga katika kambi ya timu hiyo juzi visiwani Zanzibar, kwa ajili ya kujiandaa na Ligi Kuu baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.
Habari za ndani kutoka katika kambi ya Simba, zilisema ujio wa mshambuliaji...
10 years ago
Vijimambo15 Oct
Phiri: Rekodi itaiua Yanga
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Kocha%20wa%20Zamani%20Simba-October15-2014.jpg)
Simba iko jijini Johannesburg, Afrika Kusini kujiandaa na mchezo huo ambao huvuta hisia za mashabiki wa soka ndani na nje ya nchi.
Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hili, Phiri ambaye katika misimu miwili...
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Patrick Phiri: Tutaponea kwa Yanga
KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia Patrick Phiri,amesema mechi yao dhidi ya Yanga itakayopigwa Oktoba 18, ndio itakuwa kipimo cha mwisho kwao kwa msimu huu. Kauli hiyo ya Phiri ni kutokana...
10 years ago
TheCitizen02 Nov
Shocking results for Azam, Yanga as Phiri faces exit
9 years ago
Press30 Dec
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango Ametoa Maagizo Kwa Tume ya Mipango
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango ameiagiza Tume ya Mipango kufanya utafiti kuhusu mapato ya Serikali na namna ya kuongeza wigo wa ukusanyaji mapato.
Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Mipango wakimpokea Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango alipowatembelea kwa lengo la kuwaaga.
Amesema Tume ya Mipango kama chombo cha ushauri kwa Serikali kuhusu mipango na uchumi wa nchi, ni lazima ifanye utafiti juu ya ufanisi wa ukusanyaji wa mapato na kuongeza vyanzo wa kukusanya...
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Adhabu ya Costa yamkera Mourinho
10 years ago
BBCSwahili15 Oct
Mashambulizi ya Kobane yamkera Obama
11 years ago
Habarileo13 Jul
Rushwa ya ng’ombe, mbuzi yamkera JK
RAIS Jakaya Kikwete amewaonya wenyeviti na maofisa watendaji wa vijiji kuacha mara moja tabia ya kupokea rushwa ya mbuzi na ng’ombe kutoka kwa wafugaji wanaohamia kwenye maeneo yao bila kuzingatia taratibu zilizowekwa na vijiji.
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Migogoro michezoni yamkera Rais Kikwete
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete amesema, sababu hasa ya soka la Tanzania kushindwa kupiga hatua ni kukosekana viongozi wazuri wakiendekeza migogoro kuliko kuwekeza katika programu...