Okwi apangua mipango ya Phiri
Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri
NA JENNIFER ULLEMBO
UJIO wa mshambuliaji, Emmanuel Okwi katika klabu ya Simba, umepangua mipango ya Kocha Mkuu wa timu ya Simba, Patrick Phiri, ambaye amelazimika kupangua kikosi chake alichokipanga kupitia mechi ya kirafiki dhidi ya KMKM.
Okwi alijiunga katika kambi ya timu hiyo juzi visiwani Zanzibar, kwa ajili ya kujiandaa na Ligi Kuu baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.
Habari za ndani kutoka katika kambi ya Simba, zilisema ujio wa mshambuliaji...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Mipango ya Yanga yamkera Phiri
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/g7CYaJh1SvILJ0Zus9jfhRSqfbQ9RcJy5grmAsnT8kydm152EYtKAM530FcCkxWavB4IMI5fNEIzPIZOt4dQZRap3cRsKNAb/okwi.jpg)
Phiri amkubali Okwi shingo upande
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yC7AOXGJlPVaQeT-BmUYyWOppPglguJBJLpYYzKWbHpxW6-IuuyFky5agocfPQVB5SStn*lJ0ELCahwDCJD*i4zvdqFKaKvj/maxi.jpg)
Maximo, Phiri waungana... kwa Jaja, Okwi
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Phiri: Okwi ana deni kubwa kwa wanasimba
9 years ago
Press30 Dec
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango Ametoa Maagizo Kwa Tume ya Mipango
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango ameiagiza Tume ya Mipango kufanya utafiti kuhusu mapato ya Serikali na namna ya kuongeza wigo wa ukusanyaji mapato.
Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Mipango wakimpokea Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango alipowatembelea kwa lengo la kuwaaga.
Amesema Tume ya Mipango kama chombo cha ushauri kwa Serikali kuhusu mipango na uchumi wa nchi, ni lazima ifanye utafiti juu ya ufanisi wa ukusanyaji wa mapato na kuongeza vyanzo wa kukusanya...
9 years ago
Dewji Blog15 Dec
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akutana na watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji kabla ya kuanza majadiliano na watendaji wa Wizara na Taasisi.
Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiongea na watendaji wa Wizara na Taasisi alipokutana nao katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango.
Akizungumza na uongozi wa Wizara na Taasisi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji aliwaasa...
10 years ago
Habarileo01 Apr
IGP apangua makamanda
INSPEKTA Jenerali wa Polisi, IGP Ernest Mangu amefanya mabadiliko kwa baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa (RPC).
10 years ago
Uhuru Newspaper26 Aug
Dk. Sheni apangua mawaziri, Ma-RC
Na mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni, amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri pamoja na wakuu wa mikoa na wilaya. Mabadiliko hayo yanalenga kuendelea kuimarisha utendaji wa shughuli za serikali na tayari jana, amewaapisha wateule wote katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar. Walioapishwa jana ni Dk. Sira Ubwa Mamboya, ambaye anakuwa Waziri wa Kilimo na Maliasili. Aliyekuwa Waziri wa Afya, Juma Duni Haji, amebadilishwa kwenda kuongoza Wizara ya Miundombinu...
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Nyalandu apangua wakurugenzi Maliasili