Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IGP apangua makamanda

Inspekta Jenerali wa Polisi, IGP Ernest ManguINSPEKTA Jenerali wa Polisi, IGP Ernest Mangu amefanya mabadiliko kwa baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa (RPC).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

IGP Mangu apangua makamanda wa mikoa

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu, amemhamisha kazi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Faustine Shilogile. Shilogile amehamishiwa Makao Makuu ya Upelelezi Dar...

 

11 years ago

Mwananchi

IGP Mangu apangua makamanda polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa.

 

10 years ago

Mwananchi

Majambazi waua polisi wawili, IGP apangua makamanda 160

>Askari polisi wawili wameuawa na mmoja kujeruhiwa baada ya kuvamiwa na watu wanaodhaniwa kuwa na viashiria vya ama ugaidi au ujambazi katika kizuizi cha barabara ya Kilwa, Kipara Mpakani, Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

IGP apangua vigogo 18 Polisi

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu, amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa, wakuu wa upelelezi wa mikoa, wakuu wa usalama barabarani...

 

11 years ago

Mwananchi

Makamanda wa Polisi wamzungumzia IGP Mangu

Baadhi ya Makamanda wa Polisi wa mikoa mbalimbali nchini, wamepongeza uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi, Ernest Mangu huku wakiahidi kushirikiana naye katika mapambano ya kupunguza kama si kutokomeza kabisa uhalifu nchini.

 

11 years ago

Habarileo

IGP afanya mabadiliko ya makamanda Jeshi la Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest ManguMKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu amefanya mabadiliko katika nafasi mbalimbali za jeshi hilo huku akifanya uhamisho kwa baadhi ya makamanda.

 

5 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AFANYA UHAMISHO KWA BAADHI YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA

Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini SACP David Misime imesema kuwa leo 24/06/2020 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amefanya uhamisho kwa baadhi ya Makamanda wa Polisi wa mikoa ili kuongeza ufanisi na tija katika kazi za Polisi. 
Miongoni mwa waliohamishwa, amemhamisha aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Salum Hamduni kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha na aliyekuwa kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha ACP Jonathan Shana amehamishwa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Dk. Sheni apangua mawaziri, Ma-RC



Na mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni, amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri pamoja na wakuu wa mikoa na wilaya. Mabadiliko hayo yanalenga kuendelea kuimarisha utendaji wa shughuli za serikali na tayari jana, amewaapisha wateule wote katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar. Walioapishwa jana ni Dk. Sira Ubwa Mamboya, ambaye anakuwa Waziri wa Kilimo na Maliasili. Aliyekuwa Waziri wa Afya, Juma Duni Haji, amebadilishwa kwenda kuongoza Wizara ya Miundombinu...

 

10 years ago

Mtanzania

Jaji Mkuu apangua majaji

jaji_chandeNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam

JAJI Mkuu, Mohammed Othman Chande, amewahamisha majaji 27 wa Mahakama Kuu Tanzania akiwamo Jaji John Utamwa aliyehamishiwa Mahakama Kuu Tabora na Jaji Dk. Fauz Twaib aliyehamishiwa Mahakama Kuu Mtwara.

Uhamisho huo ulifanyika mwishoni mwa wiki ambako majaji wengine walibadilishwa vituo vya kazi na wengine kuteuliwa kuwa wafawidhi wa kanda.

Majaji waliohamishwa ni Jaji Agathon Nchimbi aliyekuwa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara kwenda Mahakama Kuu Ardhi, Jaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani