Phiri amkubali Okwi shingo upande
![](http://api.ning.com:80/files/g7CYaJh1SvILJ0Zus9jfhRSqfbQ9RcJy5grmAsnT8kydm152EYtKAM530FcCkxWavB4IMI5fNEIzPIZOt4dQZRap3cRsKNAb/okwi.jpg)
Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri. Na Wilbert Molandi, Unguja      KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Phiri, ameshtushwa na usajili wa kiungo mshambuliaji Emmanuel Okwi aliyetua kuichezea timu hiyo.Simba, juzi Alhamisi, ilitangaza kumrejesha kundini kiungo huyo mwenye mkataba wa mwaka miwili wa kuichezea Yanga inayojiandaa na Ligi Kuu Bara msimu ujao. Akizungumza na Championi Jumamosi, Phiri raia wa Zambia,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Aug
Mtikila achukua fomu ya urais kwa shingo upande
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Azam yaenda Kisiwani Pemba kwa shingo upande
10 years ago
GPLADC KUSHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KWA SHINGO UPANDE
10 years ago
Mtanzania02 Sep
Okwi apangua mipango ya Phiri
![Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Patrick-Phiri.jpg)
Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri
NA JENNIFER ULLEMBO
UJIO wa mshambuliaji, Emmanuel Okwi katika klabu ya Simba, umepangua mipango ya Kocha Mkuu wa timu ya Simba, Patrick Phiri, ambaye amelazimika kupangua kikosi chake alichokipanga kupitia mechi ya kirafiki dhidi ya KMKM.
Okwi alijiunga katika kambi ya timu hiyo juzi visiwani Zanzibar, kwa ajili ya kujiandaa na Ligi Kuu baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.
Habari za ndani kutoka katika kambi ya Simba, zilisema ujio wa mshambuliaji...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yC7AOXGJlPVaQeT-BmUYyWOppPglguJBJLpYYzKWbHpxW6-IuuyFky5agocfPQVB5SStn*lJ0ELCahwDCJD*i4zvdqFKaKvj/maxi.jpg)
Maximo, Phiri waungana... kwa Jaja, Okwi
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Phiri: Okwi ana deni kubwa kwa wanasimba
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-l4wBrMEIEmM/Uwb4DWRDwEI/AAAAAAAFOg8/k3tZyNl3UvA/s72-c/unnamed+(85).jpg)
UZUNDUZI WA MRADI MKUBWA WA NJIA MPYA YA MAWASILIANO UNAOUNGANISHA JIJI LA DAR ES SALAAM KWA UPANDE MMOJA NA UNGUJA NA PEMBA KWA UPANDE MWINGINE
![](http://4.bp.blogspot.com/-l4wBrMEIEmM/Uwb4DWRDwEI/AAAAAAAFOg8/k3tZyNl3UvA/s1600/unnamed+(85).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-g-OgqaEa89g/Uwb4DpEbuWI/AAAAAAAFOhA/GUU2DXbdpiA/s1600/unnamed+(86).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Bp86vAV3KKM/Uwb4DyadJEI/AAAAAAAFOhI/cD7-0S0AG-4/s1600/unnamed+(87).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Tu3f7Yl8Sl4/Uwb4EkQ95bI/AAAAAAAFOhQ/9NbPTflJ6g8/s1600/unnamed+(88).jpg)
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Lissu amkubali Sitta
10 years ago
Mwananchi14 Jul
Jaji Warioba amkubali Magufuli