Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Warioba amkubali Magufuli

>Siku moja baada ya CCM kumpitisha Dk John Magufuli kuwa mgombea wake wa urais, Waziri mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema chama hicho kimefanya uamuzi sahihi kwa kuwa waziri huyo wa ujenzi ni mchapakazi na hakutumia fedha kuipata nafasi hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE

 Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.
Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, akipongezwa na wanaCCM katika mkutano wa kampeni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Msumi hajajifunza kwa Jaji Warioba?

BAADA ya kusikia matusi, kejeli na mipasho toka kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba dhidi ya Jaji Joseph Warioba, sasa macho na masikio tunaelekeza kwa Jaji mstaafu Hamis Msumi...

 

9 years ago

Vijimambo

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA

Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.  PICHA ZOTE/JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOGWaziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akizungumza wakati akiwanadi...

 

9 years ago

Habarileo

Ban Ki-moon amkubali Rais Magufuli

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Kimoon ameeleza imani yake kwa Rais John Magufuli akisema chini ya uongozi wake, Serikali ya Tanzania itashughulika na juhudi za kuondoa umaskini, kuimarisha utawala na kupigania amani na utulivu katika Afrika Mashariki na nje ya ukanda.

 

9 years ago

Habarileo

Samia amkubali Magufuli vita dhidi ya rushwa

MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Samia Hassan Suluhu, amemnadi mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli kwamba hana mchezo na vitendo vya rushwa jambo litakaloleta maendeleo zaidi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Warioba afura

WAKATI vita ya maneno ya mjadala wa rasimu ya pili ya katiba ikipiganwa nje na ndani ya Bunge, huku Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiendelea kumshambulia Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko...

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK amemchuuza Jaji Warioba

NILIPOONA Rais Jakaya Kikwete akilihutubia na kulizindua Bunge Maalum la Katiba, huku akiikosoa rasimu ya pili iliyowasilishwa kwake na Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba,...

 

10 years ago

Mtanzania

Jaji Warioba: Najipanga

Jaji Joseph Warioba

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba

Na Waandishi Wetu

SIKU moja baada ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa kupitishwa na Bunge Maalumu la Katiba, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, ameibuka na kusema kwamba atazungumza baada ya kuisoma Katiba hiyo iliyopendekezwa.

Juzi baada ya Bunge hilo kupitisha Katiba inayopendekezwa, wananchi wa kada mbalimbali, viongozi wa kisiasa, dini, wasomi na baadhi ya taasisi walionyesha wazi kutofautiana, wengine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani