TIFF: KWA JACK PATRICK NILIPOTEA NJIA
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/jacknamumewe.jpg)
Abdulatif Fundikira ‘Tiff’ na mkewe wa zamani, Jacqueline Patrick Imelda Mtema Mume wa Miss Tanzania 2011, Salha Israel, Abdulatif Fundikira ‘Tiff’ ameibuka na kusema kuwa kwa mkewe wa zamani, Jacqueline Patrick alipotea njia hivyo anashukuru Mungu sasa amefika panapostahili. Miss Tanzania 2011, Salha Israel Akichonga na Ijumaa Tiff alisema kuwa kwa mkewe Salha amefika na kutokana na huduma...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NFpLPbeZNYCm*CTT6sEv3y9SWhGpguUtpopv17zXUvYHNohjI-AezmUqBY9JxKbrLKtuvyhR9agtPBYnBViIKswWqn5TEj-8/jackp.jpg?width=650)
JACK PATRICK MAZITO TENA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55IbhPRC1Lr9IwP5H3Ut*0vYVmLF7QIi7DrlcGx7PKh5GAdfJMA*wKQOdzoYuxorViVkmw-SQkumglixsx*rNQaT/JACK.jpg?width=650)
JACK PATRICK KAACHIWA HURU?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl7BOeGlGv8irXPhnYBAniE-sIn7Sr576Ho8ZaWDVPzUD37YJDz0T2CMWAkI7RxZFGv7700-mDfYDcCJhbp3if07LGtyv07j/FRONTIJUMAA.jpg)
JACK PATRICK ANENA MAZITO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegChxy9kdc3z6Yes7x9tag9ExkiYjjMooYqkjJin6-*8m6Y3mB4XoDhT9mcbnXwYVXNMJQqJmWoMuOttp8WEAgOBo/jack.jpg?width=650)
JACK PATRICK MATESO SAA 48
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxapIxJE1hS2Wic7Q0EKoAzS38fnlcurGWI8hnUUTnb4CXH2SAMd-YE2gCYdHSsDoKvYkpLNgCqG5btIOAjzcDA3/FRONTAMANI.jpg?width=650)
JACK PATRICK HUKUMU NYEPESIII!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnXRvs8mJ78mebHAqd759AoRg9XjcJPkr2wrCBo7Cs6tofj6Lagi2WwB4-koM5dtKSyqVskEuJit9uO9siBqZL9e/jack.jpg)
JACK PATRICK AYEYUKA GEREZANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akSs4fpG*GAt0FTkyMPUmwPgi142J4AEo18MKxV0jQ73XxmjI-Y1APQNy6L6N0p8YL4JGKcBt58FTsmxfZXNXYS5/JACK.jpg)
JACK PATRICK AZIDI KUMTESA JUX
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/szrS1FfaDDK76YMVZi0d5I-w7rPbIPDMi--Q5zwD0DIlAYIWWcMfQA2WdNn6mneKQE2QK9I5pFCijqALOT2E5TaCXYoPfP3g/JACK.jpg)
KADINDA AMFUATA JACK PATRICK GEREZANI
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Jack Patrick kilio upya gerezani!
Msanii na mwanamitindo Jack Patrick.
Na Brighton Masalu
JACK Patrick, msanii, mwanamitindo na mmoja wa Watanzania wanaotumikia kifungo nchini China kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya, ametoa kilio upya akiwa gerezani, baada ya kuwashutumu marafiki zake kushindwa kumtembelea, licha ya kufika mara kwa mara katika nchi hiyo yenye uchumi mkubwa barani Asia.
Kikizungumza na gazeti hili juzikati, chanzo kilichoomba hifadhi ya jina lake, ambacho kilimtembelea Jack katika gereza lililo mji wa...