kocha patrick phiri wa zambia kutua dar es salaam ijumaa tayari kuinoa simba SC
![](http://1.bp.blogspot.com/-4RLcSt4W2js/U-m2KV4qlsI/AAAAAAAF-z0/K1wQKt_FOvU/s72-c/PATRICK+PHIRI.jpg)
Na Bin ZubeiryMazungumzo yamekwishanyika na makubaliano yamefikiwa baina ya Patrick Phiri kutoka Zambia (pichani) na Simba SC na sasa atakuja kufanya kazi tena Msimbazi, akisaidiwa na Nahodha wake enzi zake akifundisha timu hiyo, Suleiman Abdallah Matola ‘Osama’.
Phiri ni kocha anayekubalika zaidi mbele ya mashabiki wa Simba SC miongoni mwa makocha waliowahi kufundisha klabu hiyo- rekodi yake ya kukumbukwa zaidi ikiwa ni kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2009/2010 bila kufungwa hata...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Patrick Phiri kutua leo nchini
![Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Patrick-Phiri.jpg)
Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mpya wa Simba, Patrick Phiri, anatarajia kutua leo nchini na kukabidhiwa mikoba ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mcroatia Zdravko Logarusic, aliyefungashiwa virago vyake mwishoni mwa wiki iliyopita.
Phiri anatarajia kuwasili majira ya saa 8 mchana kwa ndege ya Shirika la Ndege la Fastjet akitokea nchini kwao Zambia.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, alithibitisha ujio wa kocha huyo leo,...
9 years ago
Habarileo03 Nov
Ndayisenga yuko tayari kutua Simba
MSHAMBULIAJI wa Burundi, Kevin Ndayisenga amesema kwamba yuko tayari kurejea Simba wakati wowote iwapo timu hiyo itafikia makubaliano na meneja wake, Dennis Kadito.
10 years ago
MichuziKibadeni ampa mawaidha Kocha Phiri wa Simba
Kibadeni alisema Simba wana nafasi kubwa ya kutetea ushindi wao, lakini wanachotakiwa kuzingatia ni kwenye safu hizo mbili ili waweze kuzuia mashambulizi ya wapinzani wao, vinginevyo itawawia ngumu.
"Mechi hiyo itakuwa ngumu kwa...
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Patrick Phiri: Tutaponea kwa Yanga
KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia Patrick Phiri,amesema mechi yao dhidi ya Yanga itakayopigwa Oktoba 18, ndio itakuwa kipimo cha mwisho kwao kwa msimu huu. Kauli hiyo ya Phiri ni kutokana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ct4BimYh7MiQiwIzvChtRy0RS1nfLr*AYnpixsifbxGR99mz*a3fltiTyX1eTVbINmu9*s4WdyjOQpSYLvBx6GCyWrA14nUV/2malaikaband3.jpg?width=650)
CHRISTIAN BELLA KUTUA LEO NCHINI, TAYARI KWA SHOO YAKE JUMAMOSI HII DAR LIVE
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Patrick Qorro afariki dunia Dar es Salaam
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5YiUjaUWzPihm9wHe4yWPjK6Ky-tovi0ziEsvAQu4kjNcIC*WdbqQx2y2TnGf*5Za5QJphJkjthV6ykxe-8BibLe/kocha.jpg?width=650)
Kocha Mbelgiji ajitolea kuinoa Yanga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SWXdzvDqQaJYFpJ3F3xwcC46Nbysxn81JJ7IvVzkeJrf7OSsK5jbswYySontJ1sDBf2gcPtjBy0nhNGoEq4gefE9qE02Gg2H/Mkwasa.jpg?width=650)
YANGA YAMGOMEA KOCHA WAKE KUINOA STARS
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-j-6h12Zwfb4/VkMKOcLWcxI/AAAAAAAIFQw/y6m2wKLJPr0/s72-c/kibadeniii.jpg)
KOCHA KIBADENI KUANZA KUINOA KILIMANJARO STARS
![](http://3.bp.blogspot.com/-j-6h12Zwfb4/VkMKOcLWcxI/AAAAAAAIFQw/y6m2wKLJPr0/s400/kibadeniii.jpg)
Kilimanjaro Stars inashiriki michuano hiyo mikongwe kabisa barani Afrika, ambapo jumla ya nchi 12 wanachama wamedhibitisha kushiriki michuano hiyo itakayomalizika Disemba 6 mwaka huu.
Nchi zingine zinazoshiriki michuano hiyo...