Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuu Finland kutua leo

WAZIRI Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen atafanya ziara ya kikazi nchini ya siku mbili kuanzia kesho. Katainen anategemewa kuwasili leo usiku akitokea Addis Ababa, Ethiopia, na kesho atafanyiwa mapokezi rasmi na mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Waziri Mkuu Finland aiasa Tanzania

WAZIRI Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, ameitaka Tanzania kutumia nafasi pekee iliyonayo kijiografia, kunufaika na ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Afrika kwa ujumla. Alisema hayo jana wakati wa majadiliano kuhusu uhusiano wa kiuchumi kati ya Bara la Ulaya na Afrika na jinsi ya kuongeza manufaa katika uhusiano huo. Katainen alisema ukanda wa Afrika Mashariki ni eneo ambalo uchumi wake unaendelea kukua kwa haraka na nchi yake imekuwa ikiendelea kusaidia nchi za ukanda huo...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Mkuu Finland aitoa hofu Tanzania

Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen ameitoa hofu Tanzania akisema inaweza kufaidika zaidi kwenye ushirikiano wa Afrika Mashariki kama itajizatiti na kutumia vyema fursa zilizoko za maliasili kutokana na jiografia yake.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI WA FINLAND NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI OFISINI KWAKE LEO

Balozi wa Finland Nchini Sinikka Antila akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo mara baada ya kuwasili. Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb) akisisitiza jambo katika kikao hicho. Kati ya masuala yaliyojadiliwa ni pamoja na ushirikiano baina ya nchi ya Tanzania na Finland katika masuala ya teknolojia, uendelezaji wa rasilimaliwatu na usimamizi wa fedha. Balozi wa Finland Nchini Sinikka Antila (kulia)...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 30, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

9 years ago

Michuzi

LIVE KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO: WABUNGE WALIPIGIA KURA JINA LA WAZIRI MKUU MKUU MTEULE

Baadhi ya Maafisa wa Bunge wakiwa tayari kwa Zoezi la kupiga kura, wabunge kumthibitisha Waziri Mkuu aliyependekezwa na Rais Dk. John Magufuli, Mhe. Kassim Majaliwa, linaloendelea hivi sasa Bungeni Mjini Dodoma.Zoezi la kupiga kura likiendelea kwa Wabunge Mjini Dodoma.

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AMTEMBELEA MAMA YAKE MZAZI WAZIRI MKUU PINDA MKOANI KATAVI LEO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu,Mh Pinda, mapema mchana huu nyumbani kwake,Katika kijiji cha Kibaoni Wilaya Mlela mkoani Katavi,alipokwenda kumtembelea na kumjulia hali. Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu,Mh Pinda, mapema mchana huu nyumbani kwake,Katika kijiji cha Kibaoni Wilaya Mlele mkoani Katavi,alipokwenda kumtembelea na kumjulia hali.Kinana yuko Mkoani Katavi kwa ziara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani