Waziri Mkuu Finland aitoa hofu Tanzania
Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen ameitoa hofu Tanzania akisema inaweza kufaidika zaidi kwenye ushirikiano wa Afrika Mashariki kama itajizatiti na kutumia vyema fursa zilizoko za maliasili kutokana na jiografia yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo30 Jan
Waziri Mkuu Finland aiasa Tanzania
WAZIRI Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, ameitaka Tanzania kutumia nafasi pekee iliyonayo kijiografia, kunufaika na ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Afrika kwa ujumla. Alisema hayo jana wakati wa majadiliano kuhusu uhusiano wa kiuchumi kati ya Bara la Ulaya na Afrika na jinsi ya kuongeza manufaa katika uhusiano huo. Katainen alisema ukanda wa Afrika Mashariki ni eneo ambalo uchumi wake unaendelea kukua kwa haraka na nchi yake imekuwa ikiendelea kusaidia nchi za ukanda huo...
11 years ago
Habarileo28 Jan
Waziri Mkuu Finland kutua leo
WAZIRI Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen atafanya ziara ya kikazi nchini ya siku mbili kuanzia kesho. Katainen anategemewa kuwasili leo usiku akitokea Addis Ababa, Ethiopia, na kesho atafanyiwa mapokezi rasmi na mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete.
11 years ago
Habarileo31 Jan
Waziri wa Finland aipongeza Tanzania
WAZIRI wa Maendeleo ya Kimataifa wa Finland, Pekka Haavisto ameipongeza Tanzania kwa kuwa nchi yenye amani na watu wake kushiriki katika upatanisho na usuluhishi kwa mataifa mengi Afrika, kwa kutambua kuwa athari za machafuko ya nchi hizo, yana madhara makubwa kwa amani hiyo.
10 years ago
Dewji Blog07 Dec
Idris Sultan aitoa kimasomaso Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots
Mshiriki wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots Idris Sultan ameibuka kidedea kwa kutwaa taji msimu wa 9 wa shindano BBA Hotshots na kujinyakulia kitita cha dola za kimarekani 300,000.
Shindano hilo lilidumu kwa muda miezi 2 sawa na siku 60 na kumalizika usiku leo nchini Afrika Kusini, ambalo lilishirikisha washiriki 26 kutoka nchi mbalimbali za bara la Afrika na kisha baadhi yao kutolewa kwa kukosa kura na matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea ndani ya jumba hilo na...
9 years ago
Michuzi14 Dec
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA KADHI MKUU WA TANZANIA
![0d766169-dd05-48f7-8eb5-58506ff0a6c4](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/0d766169-dd05-48f7-8eb5-58506ff0a6c4.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kadhi Mkuu wa Tanzania, Abdallah Mnyasi, ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU, MAJALIWA AKUTANA NA KADHI MKUU WA TANZANIA