Waziri Mkuu Finland aiasa Tanzania
WAZIRI Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, ameitaka Tanzania kutumia nafasi pekee iliyonayo kijiografia, kunufaika na ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Afrika kwa ujumla. Alisema hayo jana wakati wa majadiliano kuhusu uhusiano wa kiuchumi kati ya Bara la Ulaya na Afrika na jinsi ya kuongeza manufaa katika uhusiano huo. Katainen alisema ukanda wa Afrika Mashariki ni eneo ambalo uchumi wake unaendelea kukua kwa haraka na nchi yake imekuwa ikiendelea kusaidia nchi za ukanda huo...
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Waziri Mkuu Finland aitoa hofu Tanzania
11 years ago
Habarileo28 Jan
Waziri Mkuu Finland kutua leo
WAZIRI Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen atafanya ziara ya kikazi nchini ya siku mbili kuanzia kesho. Katainen anategemewa kuwasili leo usiku akitokea Addis Ababa, Ethiopia, na kesho atafanyiwa mapokezi rasmi na mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete.
11 years ago
Habarileo31 Jan
Waziri wa Finland aipongeza Tanzania
WAZIRI wa Maendeleo ya Kimataifa wa Finland, Pekka Haavisto ameipongeza Tanzania kwa kuwa nchi yenye amani na watu wake kushiriki katika upatanisho na usuluhishi kwa mataifa mengi Afrika, kwa kutambua kuwa athari za machafuko ya nchi hizo, yana madhara makubwa kwa amani hiyo.
9 years ago
Michuzi14 Dec
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA KADHI MKUU WA TANZANIA
![0d766169-dd05-48f7-8eb5-58506ff0a6c4](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/0d766169-dd05-48f7-8eb5-58506ff0a6c4.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kadhi Mkuu wa Tanzania, Abdallah Mnyasi, ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU, MAJALIWA AKUTANA NA KADHI MKUU WA TANZANIA