Waziri wa Finland aipongeza Tanzania
WAZIRI wa Maendeleo ya Kimataifa wa Finland, Pekka Haavisto ameipongeza Tanzania kwa kuwa nchi yenye amani na watu wake kushiriki katika upatanisho na usuluhishi kwa mataifa mengi Afrika, kwa kutambua kuwa athari za machafuko ya nchi hizo, yana madhara makubwa kwa amani hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo30 Jan
Waziri Mkuu Finland aiasa Tanzania
WAZIRI Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, ameitaka Tanzania kutumia nafasi pekee iliyonayo kijiografia, kunufaika na ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Afrika kwa ujumla. Alisema hayo jana wakati wa majadiliano kuhusu uhusiano wa kiuchumi kati ya Bara la Ulaya na Afrika na jinsi ya kuongeza manufaa katika uhusiano huo. Katainen alisema ukanda wa Afrika Mashariki ni eneo ambalo uchumi wake unaendelea kukua kwa haraka na nchi yake imekuwa ikiendelea kusaidia nchi za ukanda huo...
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Waziri Mkuu Finland aitoa hofu Tanzania
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
Waziri Mkuchika aipongeza NHIF
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika, ameupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kutoa elimu ya kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza. Mkuchika alisema hayo...
11 years ago
Habarileo28 Jan
Waziri Mkuu Finland kutua leo
WAZIRI Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen atafanya ziara ya kikazi nchini ya siku mbili kuanzia kesho. Katainen anategemewa kuwasili leo usiku akitokea Addis Ababa, Ethiopia, na kesho atafanyiwa mapokezi rasmi na mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete.
10 years ago
MichuziJK salutes the President of the Republic of Finland on the occasion of the 97th Anniversary of Finland’s Independence
H.E President Jakaya Mrisho Kikwete of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory message to H.E. Sauli Niinisto, the President of the Republic of Finland on the occasion of the 97th Anniversary of Finland’s Independence on 6th December, 2014.“His Excellency Sauli Niinisto, The President of the Republic of Finland, Helsinki, FINLAND.It is my pleasure on behalf of the people and the Government of the United Republic...
10 years ago
Vijimambo09 Dec
Waziri Kombani aipongeza Seed Trust kuwapigania haki za walemavu
9 years ago
MichuziWaziri wa Mazingira na Muungano akutana na Balozi wa Finland na Norway
10 years ago
MichuziWAZIRI WA AFYA AIPONGEZA MUHIMBILI KUFANIKISHA MATIBABU YA MOYO KWA WATANZANIA
Hayo ameyasema alipotembelea Hospitali hiyo kuona namna ambavyo wataalam wetu kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Prince Sultan Cardiac Centre iliyoko Riyadhi nchini Saudi Arabia ambao wamekuwepo Muhimbili toka tarehe 9 Mei na wanatarajiwa kuondoka...