Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Papa kutua Kenya Kesho

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis amesema kwamba kesho akiwa Kenya atatoa ujumbe wa amani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Papa Francis kutua Kenya leo

PopeFrancis-8NAIROBI, Kenya

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, anatarajiwa kuwasili Kenya leo jioni kwa ziara ya siku tatu.

Wakati huohuo,  Serikali ya Kenya imetangaza kesho kuwa mapumziko maalumu kwa ibada itakayoongozwa na kiongozi huyo.

Papa anatarajiwa kugusa ardhi ya Kenya saa 11 jioni  ndege yake itakapotua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairoibi.

Atakuwa Kenya kwa ziara ya siku tatu kabla ya kwenda Uganda keshokutwa  na baadaye  Jamhuri ya Afrika ya Kati...

 

9 years ago

Dewji Blog

#PAPA TOUR KENYA: Wakenya wampokea Papa kwa mara ya kwanza ujio wake Bara la Afrika!

IMG-20151125-WA0024

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akisalimiana na Papa Francis wakati alipowasili mapema leo Novemba 25 katika jiji la Nairobi nchini Kenya.

Papa Francis ameanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki aliwasili Nairobi mwendo wa saa kumi unusu jioni na kukaribishwa kwa shangwe na viongozi wa kisiasa na kidini uwanja wa ndege.

Baada ya kuwasili, alielekea Ikulu ambako alipanda mti kisha kukutana na Rais Uhuru...

 

9 years ago

Mwananchi

Papa Francis kutua kwa kishindo Nairobi leo

Serikali ya Kenya inatarajia kukuza uchumi kwa takriban kiasi cha bilioni mbili  katika kutokana na ziara ya Papa Francis inayofanyika leo nchini humo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malawi kutua Mbeya kesho

MSAFARA wa watu 31 wakiwamo wachezaji 20 wa timu ya soka ya taifa ya Malawi ‘Flames’, unatarajia kuwasili jijini Mbeya kesho, tayari kwa pambano la kimataifa la kirafiki dhidi ya...

 

9 years ago

Habarileo

Algeria kutua kesho Dar

WAKATI timu yaTaifa ya Algeria ikitarajiwa kuwasili Dar es Salaam kesho kwa mchezo dhidi ya Taifa Stars, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo huo huku cha chini kikiwa ni Sh 5,000.

 

11 years ago

GPL

Tambwe, Kaze kutua Dar kesho

Mshambuliaji  wa kimataifa wa Simba, Gilbert Kaze ( katikati) na Amissi Tambwe (kulia). Na Lucy Mgina
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe na beki wa timu hiyo, Gilbert Kaze, wanatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam kesho Jumanne tayari kwa kuanza mazoezi na wenzao. Kocha wa Simba, Mcroatia, Zdravok Logarusic, aliwachimba mkwara kwa kudai atawakata mishahara nyota wote ambao walichelewa kujiunga na kikosi...

 

11 years ago

GPL

YEMI ALADE KUTUA NCHINI KESHO JUMATANO

MKALI wa ngoma ya Johnny, Yemi Alade, hataweza kutua Bongo leo kama ilivyotarajiwa na badala yake ataingia nchini kesho Jumatano, Agosti 6, 2014 saa tano usiku tayari kwa kukinukisha kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini ambalo limebakiza siku chache kabla ya kutimua vumbi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Agosti 8, 2014. Akiongea na mtandao huu, mratibu wa tamasha hilo, Luqman Maloto alisema Alade anatarajiwa kutua...

 

11 years ago

Mwananchi

Andy Cole wa Manchester United kutua Dar kesho

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Manchester United, Andy Cole anatarajia kutua jijini Dar es Salaam kesho, imethibishwa.

 

11 years ago

Michuzi

SHEPOLOPPOLO KUTUA NCHINI KESHO TAYARI KUIKABILI TWIGA STARS KESHOKUTWA

Timu ya Taifa ya Zambia (Shepolopolo) inatua nchini kesho mchana (Februari 27 mwaka huu) kwa ajili ya mechi ya marudiano ya michuano ya Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Tanzania (Twiga Stars) itakayochezwa keshokutwa (Februari 28 mwaka huu). Shepolopolo yenye msafara wa watu 29 itawasili kwa ndege ya Fastjet ikitokea Lusaka na itafikia kwenye hoteli ya Accomondia kwa ajili ya mechi hiyo itakayochezwa Uwanja wa Azam Complex ulioko Chamazi kuanzia saa 10 kamili jioni. Waamuzi wa mechi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani