Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YEMI ALADE KUTUA NCHINI KESHO JUMATANO

MKALI wa ngoma ya Johnny, Yemi Alade, hataweza kutua Bongo leo kama ilivyotarajiwa na badala yake ataingia nchini kesho Jumatano, Agosti 6, 2014 saa tano usiku tayari kwa kukinukisha kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini ambalo limebakiza siku chache kabla ya kutimua vumbi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Agosti 8, 2014. Akiongea na mtandao huu, mratibu wa tamasha hilo, Luqman Maloto alisema Alade anatarajiwa kutua...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

YEMI ALADE KUTUA BONGO LEO

Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Mkali wa ngoma ya Johnny, Yemi Alade, hatimaye anatarajiwa kutua Bongo saa tano usiku, leo Jumanne, Agosti 5, 2014 tayari kwa kukinukisha kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini ambalo limebakiza siku chache kabla ya kutimua vumbi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Agosti 8, 2014. Mkali wa ngoma ya Johnny kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade. Akipiga stori na Showbiz, mratibu wa tamasha hilo,...

 

11 years ago

Michuzi

SHEPOLOPPOLO KUTUA NCHINI KESHO TAYARI KUIKABILI TWIGA STARS KESHOKUTWA

Timu ya Taifa ya Zambia (Shepolopolo) inatua nchini kesho mchana (Februari 27 mwaka huu) kwa ajili ya mechi ya marudiano ya michuano ya Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Tanzania (Twiga Stars) itakayochezwa keshokutwa (Februari 28 mwaka huu). Shepolopolo yenye msafara wa watu 29 itawasili kwa ndege ya Fastjet ikitokea Lusaka na itafikia kwenye hoteli ya Accomondia kwa ajili ya mechi hiyo itakayochezwa Uwanja wa Azam Complex ulioko Chamazi kuanzia saa 10 kamili jioni. Waamuzi wa mechi...

 

10 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Music: Yemi Alade Ft. DJ Arafat – Do As I Do

yemi

Mwanamuziki kutoka Nigeria, Yemi Alade amerudi na single mpya kutoka kwenye album yake,”Mama Africa” mpya inayotegemea kuwa mtaani hivi karibuni. Wimbo unaitwa “Do As I Do” wimbo huu amemshirikisha staa kutoka Ivory Coast , DJ Arafat. Mtayarishaji wa wimbo huu ni Selebobo (on the beat).

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

GPL

11 years ago

GPL

9 years ago

Global Publishers

Muonekano mpya wa Yemi Alade

Yemi-Alade-by-Kelechi-Amadiobi-3-600x600 Yemi-Alade-by-Kelechi-Amadiobi-4-600x600 Yemi-Alade-by-Kelechi-Amadiobi-600x600

STAA wa muziki nchini Nigeria, Yemi Alade ameachia picha zake mpya zinazoonyesha muonekano wake wa sasa.

Picha hizo zimepigwa na mpiga picha Kelechi Amadi-Obi.

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani