Tambwe, Kaze kutua Dar kesho
Mshambuliaji wa kimataifa wa Simba, Gilbert Kaze ( katikati) na Amissi Tambwe (kulia). Na Lucy Mgina MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe na beki wa timu hiyo, Gilbert Kaze, wanatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam kesho Jumanne tayari kwa kuanza mazoezi na wenzao. Kocha wa Simba, Mcroatia, Zdravok Logarusic, aliwachimba mkwara kwa kudai atawakata mishahara nyota wote ambao walichelewa kujiunga na kikosi...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo11 Nov
Algeria kutua kesho Dar
WAKATI timu yaTaifa ya Algeria ikitarajiwa kuwasili Dar es Salaam kesho kwa mchezo dhidi ya Taifa Stars, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo huo huku cha chini kikiwa ni Sh 5,000.
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Andy Cole wa Manchester United kutua Dar kesho
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cPakA0chAEwj6tuwTPXOCfQI6N7I9iFMK-YDs77eHtx7Ail0duS1lvaxaYfOIvUUA-rq7TInrfYz1B*ooCeva2TNxzEdwRcg/Mafikizolo720x478.jpg?width=650)
MAFIKIZOLO KUTUA LEO JIJINI DAR, KUFANYA MAKAMUZI KESHO MLIMANI CITY
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Papa kutua Kenya Kesho
11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
Malawi kutua Mbeya kesho
MSAFARA wa watu 31 wakiwamo wachezaji 20 wa timu ya soka ya taifa ya Malawi ‘Flames’, unatarajia kuwasili jijini Mbeya kesho, tayari kwa pambano la kimataifa la kirafiki dhidi ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iumatxx-0jw6YH9axGC1hS0PYJsyxfJKftrDRKwe07vjqOtNUZBUAJNVOQ3a3FElO-x24VyrKPGGOCUqew-xHBG0dDiuah1D/YemiAlade2.jpg)
YEMI ALADE KUTUA NCHINI KESHO JUMATANO
11 years ago
Michuzi26 Feb
SHEPOLOPPOLO KUTUA NCHINI KESHO TAYARI KUIKABILI TWIGA STARS KESHOKUTWA
![](https://4.bp.blogspot.com/-7C7KMJ0Z0NQ/Uw3LmApvesI/AAAAAAAA_b8/w2qqMD9LAr4/s1600/Shepolopolo.jpg)
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Kaze afagilia Loga kutimuliwa