Kaze afagilia Loga kutimuliwa
Beki wa zamani wa Simba, Gilbert Kaze amesema Simba imefanya uamuzi wa maana wa kumtimua kocha Zdravko Logarusic, licha ya kuchelewa sana kuchukua uamuzi huo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTambwe, Kaze kutua Dar kesho
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Mkwasa afagilia ujio wa Maximo
KOCHA msaidizi wa Yanga, Charles Mkwasa, amefurahia mipango ya klabu hiyo kumleta Kocha Mbrazil, Marcio Maximo, kuinoa timu hiyo akisema anaamini kama atakuwa chini yake, atachota ujuzi. Mkwasa, nyota wa...
11 years ago
Habarileo29 May
Mhubiri wa kimataifa afagilia amani ya Tanzania
MHUBIRI wa kimataifa, Dk Peter Youngren kutoka Canada amesema kinachomvutia kuja nchini mara kwa mara kufanya matamasha ya kirafiki, ni mazingira mazuri na sifa ya kipekee iliyo nayo Tanzania ambayo ni amani.
9 years ago
Habarileo21 Sep
Sefue afagilia ubora wa nyaya za umeme
KATIBU Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue amesema soko la nyaya za umeme nchini limekua na ameipongeza kampuni inayohusika na kutengeneza nyaya ya East African Cables kwa kutengeneza nyaya zenye ubora wa hali ya juu.
10 years ago
Habarileo27 Aug
Mkapa afagilia sheria kuzuia ulafi wa viongozi
RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ameungana na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, kuunga mkono mapendekezo ya Sheria ya Mgongano wa Maslahi.
10 years ago
Habarileo22 Feb
Hawa Ghasia afagilia fao la elimu la LAPF
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, amesema fao la mkopo wa elimu linalotolewa na Mfuko wa Pensheni wa LAPF, ni msaada mkubwa kwa waajiri nchini ikiwemo Serikali.
10 years ago
Dewji Blog30 Dec
Baba mzazi wa Nyalandu afagilia mwanae kutaka Urais
Baba yake Waziri wa Maliasili na Utalii na mbunge wa jimbo la Singida kaskazini,(Lazaro Samwel Nyalandu), mzee Samwel Nyalandu akizungumzia uamuzi wa mtotowake Lazaro kuwania urasi kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani. Amedai amepokea uamuzi huo kwa mikono miwili akiamini kuwa Lazaro atamudu nafasi hiyo nyeti ya urais.
Na Nathaniel Limu, Singida
BABA mzazi wa Waziri wa Maliasili na Utalii na mbunge wa jimbo la Singida kaskazini, Samwel Nyalandu (70), alisema amepokea kwa...
10 years ago
Dewji Blog06 Jun
Balozi Iddi afagilia timu ya special Olympic ya Zanzibar
Mwalimu wa Timu ya Mchezo wa Watu wenye ulemavu wa Akili Zanzibar {Special Olympic} Maalim Amour Ali Khamis akisoma risala wakati wa hafla fupi ya kukabidhi medali za ushindi kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwenye mashindano ya Kitaifa yaliyofanyika Kibaha.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Michezo cha Watu wenye ulemavu wa Akili Zanzibar Bibi Saada Hamad Ali akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Medali 32 walizopata wachezaji wa Zanzibar...
9 years ago
Habarileo04 Nov
Waliohujumu CCM kutimuliwa
WANACHAMA na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliohusika kwa namna moja ama nyingine kukihujumu chama hicho wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu na kukikosesha ushindi katika kata na majimbo kadhaa, wametakiwa kutafuta pa kwenda kabla ya kufukuzwa uanachama.