Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliohujumu CCM kutimuliwa

WANACHAMA na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliohusika kwa namna moja ama nyingine kukihujumu chama hicho wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu na kukikosesha ushindi katika kata na majimbo kadhaa, wametakiwa kutafuta pa kwenda kabla ya kufukuzwa uanachama.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waliohujumu Chadema watimuliwa

John MnyikaCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewatimua wanachama wake 42 wakiwemo wagombea walioshindwa kupita kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa hivi karibuni.

 

10 years ago

Mwananchi

Watendaji waliohujumu fedha kukiona

Watumishi wa Wilaya ya Mufindi wanaotuhumiwa kutafuna fedha za halmashauri hiyo, watajulikana Novemba 24 mwaka huu baada ya kufanyika kwa kikao cha kamati ya fedha.

 

11 years ago

Vijimambo

HIZI NDIO SALAMU ZA MWIGULU KWA WOTE WALIOHUJUMU FEDHA HIZI ZA UMMA

Waliosababishia Serikali hasara ya bn 40/- kukiona Na Mwandishi wetu Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu NchembaWizara ya Fedha imeziagiza taasisi zilizokabidhiwa jukumu la kuchunguza wakuu wa mashirika na taasisi za umma waliojihusisha katika kughushi malipo hewa ya wafanyakazi na kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 40 kila mwezi wafichuliwe.
 Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu Nchemba, akisema wakuu hao pamoja na waajiri wametumia mwanya wa...

 

11 years ago

Habarileo

Mameya, wakurugenzi wakorofi kutimuliwa

Waziri Mkuu, Mizengo PindaSERIKALI imesema kuanzia sasa itawaondoa madarakani mameya, wenyeviti wa halmashauri na wakurugenzi katika halmashauri zitakazokumbwa na mgogoro.

 

10 years ago

GPL

WEREMA, NISINGESUBIRI KUTIMULIWA, NINGEJIUZULU

Jaji Frederick Werema akizungumza jambo. Kwako Jaji Frederick Werema.
Najua katika siku za hivi karibuni umekuwa katika wakati mgumu sana kutokana na kushiriki kwako kwa namna moja au nyingine katika sakata la mabilioni ya Escrow. Najua jinsi ulivyochanganyikiwa lakini sina namna nyingine zaidi ya kukufikishia ujumbe huu, hata kama utakuchukiza. Mimi  sikuzaliwa Oktoba 10, 1955 kama wewe. Sikusoma Shule ya Msingi Wegero...

 

11 years ago

Mwananchi

Kaze afagilia Loga kutimuliwa

Beki wa zamani wa Simba, Gilbert Kaze amesema Simba imefanya uamuzi wa maana wa kumtimua kocha Zdravko Logarusic, licha ya kuchelewa sana kuchukua uamuzi huo.

 

10 years ago

Habarileo

RC aagiza wadhibiti uegeshaji kutimuliwa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky SadikiMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, ameiagiza Halmashauri ya Jiji kuondoa kampuni ya uwakala wa kusimamia udhibiti wa uegeshaji holela wa magari katika eneo la jiji kutokana na makampuni hayo kuwa kero kwa watumiaji wa barabara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC ang’aka mwenyekiti wa kijiji kutimuliwa

MKUU wa Wilaya (DC) ya Igunga, Elibariki Kingu, amewakemea viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kijiji cha Igurubi kwa kumfukuza kazi mwenyekiti wa serikali ya kijiji hicho, Selemani Mdeka, kwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Pluijm: Naheshimu maamuzi ya kutimuliwa Niyonzima

PLUJMADAM MKWEPU NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa klabu ya Yanga, Hans van der Pluijm, amesema anaheshimu uamuzi uliotolewa na uongozi wa klabu hiyo juu ya kuvunja mkataba wa aliyekuwa kiungo mkabaji wa timu hiyo, Haruna Niyonzima.

Uongozi wa Yanga ulifika tamati na mchezaji huyo juzi, kwa madai ya kuchoshwa na tabia yake ya kutoheshimu mkataba pamoja na kutaka kuwa juu ya klabu.

Niyonzima aliongezewa mkataba wa miaka miwili Mei 19 mwaka huu, lakini kutokana na hatua hiyo alitakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani