Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEREMA, NISINGESUBIRI KUTIMULIWA, NINGEJIUZULU

Jaji Frederick Werema akizungumza jambo. Kwako Jaji Frederick Werema.
Najua katika siku za hivi karibuni umekuwa katika wakati mgumu sana kutokana na kushiriki kwako kwa namna moja au nyingine katika sakata la mabilioni ya Escrow. Najua jinsi ulivyochanganyikiwa lakini sina namna nyingine zaidi ya kukufikishia ujumbe huu, hata kama utakuchukiza. Mimi  sikuzaliwa Oktoba 10, 1955 kama wewe. Sikusoma Shule ya Msingi Wegero...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

INGEKUWA MIMI WEREMA, NISINGESUBIRI KUTIMULIWA, NINGEJIUZULU


Jaji Frederick Werema akizungumza jambo
Kwako Jaji Frederick Werema.
Najua katika siku za hivi karibuni umekuwa katika wakati mgumu sana kutokana na kushiriki kwako kwa namna moja au nyingine katika sakata la mabilioni ya Escrow. Najua jinsi ulivyochanganyikiwa lakini sina namna nyingine zaidi ya kukufikishia ujumbe huu, hata kama utakuchukiza.

Mimi sikuzaliwa Oktoba 10, 1955 kama wewe. Sikusoma Shule ya Msingi Wegero wala Sekondari za Bwiru na Songea Boys kama wewe. Sikuchukua Shahada ya...

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI CHENGE, NISINGESUBIRI KUWAJIBISHWA

Andrew Chenge. Kwako Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge.
Najua hunifahamu na hakuna mazingira yanayoweza kutukutanisha pamoja lakini hiyo hainizuii kukufishia ujumbe wangu kwako, najua ‘utamaindi’ lakini ni lazima nikwambie kwa faida yako na ya Watanzania. Mheshimiwa, mimi sikuzaliwa Desemba 24, 1947 kama wewe. Sikusoma Shule ya Msingi Zagayu kama wewe. Sikusoma Sekondari ya St. Mary’s Junior...

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI ASKOFU METHOD KILAINI, NINGEJIUZULU WADHIFA WANGU

Askofu Method Kilaini. Salaam baba Askofu Method Kilaini.
Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na majukumu yako ya kuchunga kondoo wa Bwana. Najua itakuwa vigumu kwa mimi kuonana na wewe kutokana na umbali uliopo kati ya Dar es Salaam na Bukoba lakini hilo halinizuii kukufikishia ujumbe wangu. Baba askofu, mimi sikuzaliwa Machi 30, 1948 kwenye kijiji kilichozungukwa na migomba cha Katoma, Bukoba kama wewe. Sikusomea...

 

9 years ago

Habarileo

Waliohujumu CCM kutimuliwa

WANACHAMA na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliohusika kwa namna moja ama nyingine kukihujumu chama hicho wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu na kukikosesha ushindi katika kata na majimbo kadhaa, wametakiwa kutafuta pa kwenda kabla ya kufukuzwa uanachama.

 

10 years ago

Mwananchi

Kaze afagilia Loga kutimuliwa

Beki wa zamani wa Simba, Gilbert Kaze amesema Simba imefanya uamuzi wa maana wa kumtimua kocha Zdravko Logarusic, licha ya kuchelewa sana kuchukua uamuzi huo.

 

10 years ago

Habarileo

RC aagiza wadhibiti uegeshaji kutimuliwa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky SadikiMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, ameiagiza Halmashauri ya Jiji kuondoa kampuni ya uwakala wa kusimamia udhibiti wa uegeshaji holela wa magari katika eneo la jiji kutokana na makampuni hayo kuwa kero kwa watumiaji wa barabara.

 

11 years ago

Habarileo

Mameya, wakurugenzi wakorofi kutimuliwa

Waziri Mkuu, Mizengo PindaSERIKALI imesema kuanzia sasa itawaondoa madarakani mameya, wenyeviti wa halmashauri na wakurugenzi katika halmashauri zitakazokumbwa na mgogoro.

 

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi wasio na vyoo kutimuliwa India

Jimbo la Gujarati nchini India linataka iwe sheria kwa mtu yeyote anayetaka kuwania wadhfa wa uma kuwa na choo nyumbani mwake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kutimuliwa Maximo,Wachezaji Yanga kilio

Maximo atimuliwa Yanga, Wachezaji wa Klabu hiyo wamlilia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani