Pluijm: Naheshimu maamuzi ya kutimuliwa Niyonzima
ADAM MKWEPU NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa klabu ya Yanga, Hans van der Pluijm, amesema anaheshimu uamuzi uliotolewa na uongozi wa klabu hiyo juu ya kuvunja mkataba wa aliyekuwa kiungo mkabaji wa timu hiyo, Haruna Niyonzima.
Uongozi wa Yanga ulifika tamati na mchezaji huyo juzi, kwa madai ya kuchoshwa na tabia yake ya kutoheshimu mkataba pamoja na kutaka kuwa juu ya klabu.
Niyonzima aliongezewa mkataba wa miaka miwili Mei 19 mwaka huu, lakini kutokana na hatua hiyo alitakiwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo30 Dec
Kocha Pluijm aunga mkono Niyonzima kutimuliwa Yanga
SIKU moja baada ya Yanga kusitisha mkataba wake na Haruna Niyonzima, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Hans van der Pluijm ameibuka na kusema alikwishamuondoa kiungo huyo kwenye mipango yake.
9 years ago
Mwananchi02 Jan
Tiboroha akana ‘kumharibia’ Niyonzima kutimuliwa Yanga
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana, Dec 28 Yanga yatangaza maamuzi magumu kwa Niyonzima …
Baada ya stori za muda mrefu kuhusu kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayekipiga katika klabu ya Yanga Haruna Niyonzima, uongozi wa klabu hiyo December 28 umetangaza maamuzi mapya baada ya awali kutangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu. Yanga wamefikia maamuzi ya kuvunja mkataba na kiungo huyo, baada ya kukaa na kufikiria kwa […]
The post Baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana, Dec 28 Yanga yatangaza maamuzi magumu kwa Niyonzima … appeared first on...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Ngeleja: Naheshimu uamuzi wa CCM
MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja, amesema anaheshimu adhabu aliyopewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), hivyo hayupo tayari kuzungumzia masuala ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani. CCM iliwaadhibu makada...
10 years ago
GPL20 Oct
9 years ago
Habarileo04 Nov
Waliohujumu CCM kutimuliwa
WANACHAMA na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliohusika kwa namna moja ama nyingine kukihujumu chama hicho wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu na kukikosesha ushindi katika kata na majimbo kadhaa, wametakiwa kutafuta pa kwenda kabla ya kufukuzwa uanachama.
11 years ago
Habarileo15 May
Mameya, wakurugenzi wakorofi kutimuliwa
SERIKALI imesema kuanzia sasa itawaondoa madarakani mameya, wenyeviti wa halmashauri na wakurugenzi katika halmashauri zitakazokumbwa na mgogoro.
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Kaze afagilia Loga kutimuliwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0EnpUkUMSWQT2Z9R*ZZmirWArYuf*Y6Ptpmg-*u-Qm5k8eIf5*37y6OvTv*UFwQVuSF2nRIS-jTNMRjxHH06KgFXA5bneN5/AGAkwamaClip.jpg?width=650)
WEREMA, NISINGESUBIRI KUTIMULIWA, NINGEJIUZULU