Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sefue afagilia ubora wa nyaya za umeme

KATIBU Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue amesema soko la nyaya za umeme nchini limekua na ameipongeza kampuni inayohusika na kutengeneza nyaya ya East African Cables kwa kutengeneza nyaya zenye ubora wa hali ya juu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA VIFAA VYA UMEME DAR WALALAMIKIA NYAYA ZISIZO NA UBORA,WAIOMBA TBS KUFANYA MSAKO


Na Mwandishi Wetu
BAADHI ya wafanyabiashara ya kuuza vifaa vya umeme vya aina mbalimbali katika Jiji la Dar es Salaam wamelalamikia uwepo wa vifaa hivyo na hasa nyaya ambazo ziko chini ya kiwango na ubora ambazo zinatengenezwa na baadhi ya viwanda vilivyopo nchini, hivyo wametoa ombi kwa Serikali kupitia Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na tume ya ushindani (FCC) kufanya msako viwandani na madukani ili kubaini.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam,...

 

5 years ago

Michuzi

TBS YAWASHAURI WANANCHI, WAFANYABIASHARA KUTOA TAARIFA ZITAKAZOSAIDA KUBAINI WALISHAJI NYAYA ZA UMEME ZISIZOKUWA NA VIWANGO, UBORA

Na Mwandishi Wetu,Michuzi TV

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS)limewashauri wananchi na wafanyabiashara wote nchini kutoa taarifa zitakazosaidia kuwabaini wazalishaji wa bidhaa za umeme hususani nyaya, zisizo na viwango ili waweze kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa upimaji na ugezi wa Bidhaa kutoka TBS Johanes Maganga alipokuwa akizungumza jijini Dar es Salaam baada ya kuibuka kwa malalamiko ya baadhi ya wafanyabiashara kuhusu uwepo wa baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA





Mhandisi  Emmanuel Manirabona akiwaeleza  wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini katika kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichopo kipawa jijini Dar es Salaam wakatialipowatembeza wandishi wa  habari kuangalia wizi uliotokea wa nyaya leo

Afisa mwandamizi makao makuu ya Tanesco Leni Kiobya  akiwaeleza wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini




Akiwaonyeshea wandishiwa habari moja ya nyaya  ambazo zilizokatwa na...

 

10 years ago

Habarileo

Ashambuliwa kwa nyaya za umeme, ajeruhiwa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino MlowolaMKAZI wa Kitangiri jijini hapa, Biera Edwin (22) amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Sekou Toure akipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake kwa tuhuma za kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.

 

11 years ago

Habarileo

Waiba nyaya zinazopeleka umeme ofisi kuu ya CCM Arusha

WATU wasiofahamika wamekata waya mkubwa wa umeme kutoka kwenye nguzo hadi chini na kusababisha ofisi kuu ya CCM, Mkoa wa Arusha kukosa umeme.

 

10 years ago

Mwananchi

Kaze afagilia Loga kutimuliwa

Beki wa zamani wa Simba, Gilbert Kaze amesema Simba imefanya uamuzi wa maana wa kumtimua kocha Zdravko Logarusic, licha ya kuchelewa sana kuchukua uamuzi huo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkwasa afagilia ujio wa Maximo

KOCHA msaidizi wa Yanga, Charles Mkwasa, amefurahia mipango ya klabu hiyo kumleta Kocha Mbrazil, Marcio Maximo, kuinoa timu hiyo akisema anaamini kama atakuwa chini yake, atachota ujuzi. Mkwasa, nyota wa...

 

11 years ago

Habarileo

Mhubiri wa kimataifa afagilia amani ya Tanzania

MHUBIRI wa kimataifa, Dk Peter Youngren kutoka Canada amesema kinachomvutia kuja nchini mara kwa mara kufanya matamasha ya kirafiki, ni mazingira mazuri na sifa ya kipekee iliyo nayo Tanzania ambayo ni amani.

 

10 years ago

Habarileo

Hawa Ghasia afagilia fao la elimu la LAPF

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia.WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, amesema fao la mkopo wa elimu linalotolewa na Mfuko wa Pensheni wa LAPF, ni msaada mkubwa kwa waajiri nchini ikiwemo Serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani