RAMSEY NOUAH ALIA NA ‘MEDIA’
![](http://api.ning.com:80/files/bAnmdOW7NagjAJLGHH0ANDu0SKlw6-xQH9ehv3laMMKVBqcSbR1avqZHbuyQyw83haZ1xP9Kj4zvIXe*D5ynKA8zSM8iA*1K/RamseyNouah4.jpg?width=650)
Staa anayekimbiza katika lamu Nollywood, Ramsey Nouah. Lagos, Nigeria STAA anayekimbiza katika lamu Nollywood, Ramsey Nouah amevililia vyombo vya habari ‘media’ kuwa vinamharibia ndoa yake. Akichonga na Jarida la Vanguard, Ramsey anayebamba na lamu ya 30 Days in Atlanta alisema amekuwa ngao katika familia yake katika kuikinga dhidi ya media. “Media zinaharibu sana ndoa. Lakini asante wameshindwa na ndoa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Ramsey Nouah kutua Kenya
NAIROBI, KENYA
MKALI wa filamu nchini Nigeria, Ramsey Nouah, anatarajia kuwasili nchini Kenya kwa ajili ya tamasha la utengenezaji wa filamu bora.
Msanii huyo aliyefanya vizuri kuitangaza tasnia ya filamu ndani na nje ya nchi yao na pia kujijengea upendo mkubwa kwa mashabiki wake hasa wa kike, anatarajiwa kutua nchini humo Desemba 18.
Ramsey Nouah amewataka wapenzi wa filamu nchini humo wajitokeze kwa wingi ili kupata elimu ya filamu itakayoambatana na mashindano ya mitindo...
10 years ago
Mtanzania25 Mar
Marafiki hawatambui ndoa ya Ramsey Nouah
NA BADI MCHOMOLO
NDOA ya msanii maarufu wa filamu nchini Nigeria, Ramsey Nouah, haitambuliki kwa jamii japokuwa ana mke na watoto wawili.
Watu wengi nchini humo wanaamini kuwa msanii huyo ana mke ambaye anajulikana kwa jina la Emelia Philips, mama wa watoto wawili, lakini rafiki wa karibu na msanii huyo amesema kwamba wawili hao bado hawajafunga ndoa.
“Wangekuwa wamefunga ndoa lazima wangekuwa na cheti, lakini hadi leo hawana cheti ina maana hawa bado wanaishi kwa miaka yote bila ya...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/rita-dominic-ramsey-nouah-mauritius-1.jpg)
GENEVIEVE NNAJI, RAMSEY NOUAH, DESMOND ELLIOTT NA RITA DOMINIC WAINADI DSTV
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/RAMSEYNOAHINTERVIEW-1024x1024.jpg)
RANSEY NOUAH AKATAA KUJIUNGA NA SIASA
10 years ago
BBCSwahili23 Dec
Ramsey kuivaa Southampton.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_ZIKYeZ4P24/U6EvbQrZEDI/AAAAAAAFrZ0/YK2qu70jtUY/s72-c/unnamed+(5).jpg)
Become a media expert with certified courses from the Raida School of Journalism and Media Studies.
![](http://3.bp.blogspot.com/-_ZIKYeZ4P24/U6EvbQrZEDI/AAAAAAAFrZ0/YK2qu70jtUY/s1600/unnamed+(5).jpg)
Contact us today: 0788 499 556, 0719 293 363, 0786 122 471, www.raida.ac.tz
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Ubaguzi wa rangi wamtisha Chris Ramsey
10 years ago
BBCSwahili20 Aug
Ramsey atolewa kwa kadi ya njano
10 years ago
BBCSwahili19 May
Ramsey sasa ndio mkufunzi mkuu wa QPR