Ramsey sasa ndio mkufunzi mkuu wa QPR
Kilabu ya QPR imemuajiri Chris Ramsey kama mkufunzi mkuu kwa kandarasi ya miaka mitatu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
Mkuu wa QPR aomba radhi
10 years ago
Dewji Blog19 Aug
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-hxJqluUMlXQ/VkhYHI-0A0I/AAAAAAAIF6s/Pb69G-O-eX4/s72-c/re.png)
Je, umejaribu #RecruitMe unapotafuta ajira Tanzania? Fursa ndio hii sasa!
![](http://2.bp.blogspot.com/-hxJqluUMlXQ/VkhYHI-0A0I/AAAAAAAIF6s/Pb69G-O-eX4/s640/re.png)
Ukosefu wa ajira ni changamoto kubwa duniani kote. Hili linasikitisha kwa kuwa kazi ni chanzo cha heshima binafsi, amani na utulivu. Tanzania, miongoni mwa nchi za dunia ya tatu, imechukua hatua muhimu katika kuendeleza sekta yake ya ajira, japo bado inakabiliwa na changamoto kubwa katika hilo. Asilimia kubwa ya watanzania wenye uwezo wa kufanya kazi, aidha hawana ajira au ajira walizonazo haziendani na uwezo wao.
Kutokana na ushindani mkubwa katika soko la ajira na ongezeko kubwa la vijana...
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Hii ndio ‘Mwanza City Commercial Complex ‘ inavyoonekana kwa sasa..(Picha)
Katikati ya Jiji la Mwanza kiko hiki kitu kizuri, kama uliwahi kupitia millardayo.com basi huenda uliwahi kukutana na pichaz zikionesha ‘Mlimani City ya Mwanza‘ ikiwa kwenye ujenzi. Sasa good news ni kwamba kesho ni utambulisho wa shopping mall, ambapo kutakuwa na burudani na michezo ya aina yake, ripota wa millardayo.com amefanikiwa kumpata Katibu wa Kampuni ya Mwanza […]
The post Hii ndio ‘Mwanza City Commercial Complex ‘ inavyoonekana kwa sasa..(Picha) appeared first on...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-vf7yE4G0wNg/VYCfRDF8QpI/AAAAAAAHgR8/TouhiLa2OMI/s72-c/unnamed.jpg)
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Skylight Band ndio habari ya mujini kwa sasa, karibu Thai Village tusebeneke pamoja leo
Kikosi kazi cha Skylight Band kikiwajibika jukwaani Ijumaa iliyopita kwenye show zake za kila siku ya Ijumaa ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar…..Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47, Sony Masamba, Mary Lucos na Sam Mapenzi.
Mary Lucos na Hashim Donode wakisebeneka huku Joniko Flower akipiga vocal kwenye show ya aina yake iliyowabamba mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Joniko Flower na Digna Mbepera...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/DSC_0274.jpg)
SKYLIGHT BAND NDIO HABARI YA MUJINI KWA SASA, KARIBU THAI VILLAGE TUSEBENEKE PAMOJA LEO