Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fainali ya Tanzania Movie Talents ndio habari ya mjini kwa sasa

unnamed

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

‘TANZANIA MOVIE TALENTS’ FAINALI KUFANYIKA AGOSTI 30

Kutoka kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TMT, Josephat  Lukaza, Mwalimu wa Nidhamu Julieth Samson ‘’Kemmy’’ , Mratibu wa shindano, Joshua Moshi, na mchekeshaji MC Pilipili wakiwa mbele ya wanahabari ( hawapo pichani). Wanahabari  na wadau wakisikiliza taarifa ya fainali za TMT.…

 

11 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) WATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LEO

 Washiriki wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents wakipewa maelekezo ya jinsi magazeti ya kampuni hiyo yanavyoandaliwa hadi yanaponunuliwa na wadau wa habari  Maelekezo yakiendelea kwa washiriki wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents Washiriki wa Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakiwa katika picha ya Pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publisher mara baada yakutembelea ofisi zao leo zilizopo 
Bamaga Mwenge Jijini Dar Es...

 

11 years ago

Dewji Blog

Washiriki wa fainali za shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) watembelea Ofisi za Global Publishers leo

IMG_0933

IMG_0934

Washiriki wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambao ni washindi wa TMT kutoka kanda sita za Tanzania wakisikiliza maelezo kwa makini kutoka kwa Mmoja wa Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers Limited (hayupo pichani).

IMG_0945

Mmoja wa washiriki wa fainali wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambae pia ni mshindi kutoka kanda ya Kati Mkoa wa Dodoma Mwinshehe Mohamed akijitambulisha mbele ya wafanyakazi wa Kampuni ya Kubwa ya Habari ya Global Publishers Limited...

 

10 years ago

Dewji Blog

Fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) kufanyika tarehe 30 August 2014 ndani ya ukumbi wa Mlimani City

LJ1

Mc Pilipili akiongea mbele ya Waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari kuhusiana na fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) litakalofanyika tarehe 30 August 2014 katika Ukumbi wa Mlimani City kuanzia Mida ya Saa 7:30 PM (Usiku) huku viingilio vikiwa ni Elfu Hamsini (50,000/=) kwa V.I.P na Elfu thelethini (30,000/=) kwa Kawaida. Wapili Kushoto ni Meneja Mradi TMT Joshua Moshi, Julieth Samson “Kemmy” ambae ni Mwalimu wa Nidhamu na Afisa Uhusiano TMT,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Christian Bella kutoa burudani ya kufa mtu katika fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) tarehe 30 August 2014 Mlimani City

SDS

Christian Bella

Na Josephat Lukaza

Msanii wa Muziki wa Dansi anayejulikana kama Christian Bella anayetamba na kibao chake cha Nani Kama Mama ni Mmoja wa Wasanii watakaotoa Burudani ya Kufa mtu katika Ukumbi wa Mlimani City Siku ya Jumamosi Tarehe 30 katika Fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).

Bella Amehaidi kutoa Burudani ya uhakika ambapo wapenzi wa muziki wake watafurahi na kufurahishwa na show atakayoitoa siku hiyo katika Fainali ya Kumkabidhi Mshindi wa Shindano la...

 

11 years ago

Michuzi

SASA UNAWEZA KUWAPIGIA KURA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) UWAPENDAO KUPITIA UKURASA WETU WA FACEBOOK

KAMA BADO HUJALIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KULIKE UKURASA WETU KWA KUFUATA KIUNGANISHI HIKIhttps://www.facebook.com/tztmt ukishalike ukurasa wetu fuata hatua hizo chini Ukurasa wetu ukifunguka Unaonekana kama Picha inavyoonyesha juu hapo Utafata hatua ya Kwanza kama ilivyoonyeshwa kwenye picha hizo.Ukishamaliza kumpigia kura mshiriki umpendae kwa kubofya kitufe kilichoandikwa VOTE utapokea ujumbe mfupi kwenye kioo chako na utakuwa tayari ushampigia kuraHatimae...

 

11 years ago

Michuzi

MARA BAADA YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) KUMALIZIKA KANDA YA PWANI, WATANZANIA SASA KUANZA KUWAPIGIA KURA WASHINDI

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Proin Promotions katika Mradi wa Kusaka vipaji vya Kuigiza Nchini TMT (Tanzania Movie Talents) wakishangilia kwa kufungua Mvinyo usio na kilevi mara baada ya kumaliza zoezi la Kuzunguka Katika Kanda Sita nchini kwa kusaka Vipaji vya kuigiza ambapo zoezi hilo lilimalizika katika Kanda ya Pwani, Mkoani Dar Es Salaam ambapo washindi watano kutoka kanda ya Pwani walipatikana na Kupewa zawadi zao za Shilingi laki Tano Kila Mmoja na Kushiriki katika fainali ya Kuwania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani