SASA UNAWEZA KUWAPIGIA KURA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) UWAPENDAO KUPITIA UKURASA WETU WA FACEBOOK
![](http://4.bp.blogspot.com/-PZdrBvKrT3c/U891FDtqFAI/AAAAAAAAaLo/iy_5HOHWBus/s72-c/1.jpg)
KAMA BADO HUJALIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KULIKE UKURASA WETU KWA KUFUATA KIUNGANISHI HIKIhttps://www.facebook.com/tztmt ukishalike ukurasa wetu fuata hatua hizo chini Ukurasa wetu ukifunguka Unaonekana kama Picha inavyoonyesha juu hapo Utafata hatua ya Kwanza kama ilivyoonyeshwa kwenye picha hizo.
Ukishamaliza kumpigia kura mshiriki umpendae kwa kubofya kitufe kilichoandikwa VOTE utapokea ujumbe mfupi kwenye kioo chako na utakuwa tayari ushampigia kuraHatimae...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMARA BAADA YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) KUMALIZIKA KANDA YA PWANI, WATANZANIA SASA KUANZA KUWAPIGIA KURA WASHINDI
11 years ago
MichuziSAFARI YA MCHUJO KWA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) YAANZA RASMI LEO
11 years ago
MichuziWASHIRIKI WA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) WATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LEO
Bamaga Mwenge Jijini Dar Es...
11 years ago
Dewji Blog27 Jun
Washiriki wa fainali za shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) watembelea Ofisi za Global Publishers leo
Washiriki wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambao ni washindi wa TMT kutoka kanda sita za Tanzania wakisikiliza maelezo kwa makini kutoka kwa Mmoja wa Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers Limited (hayupo pichani).
Mmoja wa washiriki wa fainali wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambae pia ni mshindi kutoka kanda ya Kati Mkoa wa Dodoma Mwinshehe Mohamed akijitambulisha mbele ya wafanyakazi wa Kampuni ya Kubwa ya Habari ya Global Publishers Limited...
10 years ago
Michuzi17 Aug
Shindano la Tanzania Movie talents (TMT)
10 years ago
GPL10 BORA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) WAPATIKANA
10 years ago
GPLSHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) KUFIKIA HATUA YA MWISHO
11 years ago
MichuziWIKI TATU KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MPVIE TALENTS (TMT), WASHIRIKI WENGINE WAWILI WAAGA SHINDANO WIKI HII
11 years ago
Dewji Blog28 Jul
Simanzi zaendelea kutawala ndani ya nyumba ya Tanzania Movie Talents (TMT) mara baada ya mshiriki mwingine kuaga Shindano
Majaji wa shindano la TMT wakimsikiliza kwa makini Mshiriki wa TMT, Mwanaafa Mwinzago (anayeonekana kwenye runinga mbele) wakati akijielezea kabla ya filamu fupi aliyoshiriki kuonyeshwa ili majaji waweze kutoa hukumu kwa washiriki wa kundi hilo
![IMG_3774](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_3774.jpg)
Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) katikati wakiwasikiliza washiriki wa kundi la kwanza wanavyojielezea kabla ya filamu fupi waliyochezwa kuonyeshwa katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa wiki iliyopita
Majaji wa Shindano la...