SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) KUFIKIA HATUA YA MWISHO
Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakifuatilia Filamu fupi iliyochezwa na baadhi ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie talents (TMT) wakati ilipokua ikionyeshwa kwenye runinga kubwa katika Ukumbi wa Makumbusho. Kutoka Kulia ni Single Mtambalike au Rich Rich katikati ni Vyonne Cherry au Monalisa na Kushoto ni Jaji Mkuu wa Shindano hilo Roy Sarungi. Mahosti wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi17 Aug
Shindano la Tanzania Movie talents (TMT)
10 years ago
GPL10 BORA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) WAPATIKANA
11 years ago
Dewji Blog27 Jun
Washiriki wa fainali za shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) watembelea Ofisi za Global Publishers leo
Washiriki wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambao ni washindi wa TMT kutoka kanda sita za Tanzania wakisikiliza maelezo kwa makini kutoka kwa Mmoja wa Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers Limited (hayupo pichani).
Mmoja wa washiriki wa fainali wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambae pia ni mshindi kutoka kanda ya Kati Mkoa wa Dodoma Mwinshehe Mohamed akijitambulisha mbele ya wafanyakazi wa Kampuni ya Kubwa ya Habari ya Global Publishers Limited...
11 years ago
MichuziSAFARI YA MCHUJO KWA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) YAANZA RASMI LEO
11 years ago
MichuziWASHIRIKI WA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) WATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LEO
Bamaga Mwenge Jijini Dar Es...
11 years ago
Dewji Blog28 Jul
Simanzi zaendelea kutawala ndani ya nyumba ya Tanzania Movie Talents (TMT) mara baada ya mshiriki mwingine kuaga Shindano
Majaji wa shindano la TMT wakimsikiliza kwa makini Mshiriki wa TMT, Mwanaafa Mwinzago (anayeonekana kwenye runinga mbele) wakati akijielezea kabla ya filamu fupi aliyoshiriki kuonyeshwa ili majaji waweze kutoa hukumu kwa washiriki wa kundi hilo
![IMG_3774](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_3774.jpg)
Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) katikati wakiwasikiliza washiriki wa kundi la kwanza wanavyojielezea kabla ya filamu fupi waliyochezwa kuonyeshwa katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa wiki iliyopita
Majaji wa Shindano la...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-PZdrBvKrT3c/U891FDtqFAI/AAAAAAAAaLo/iy_5HOHWBus/s72-c/1.jpg)
SASA UNAWEZA KUWAPIGIA KURA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) UWAPENDAO KUPITIA UKURASA WETU WA FACEBOOK
![](http://4.bp.blogspot.com/-PZdrBvKrT3c/U891FDtqFAI/AAAAAAAAaLo/iy_5HOHWBus/s1600/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-51jCQsUfTTI/U891D-BbUhI/AAAAAAAAaLY/cO73MoCYRxQ/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-my7Y5mcwXAQ/U891EJLx-QI/AAAAAAAAaLc/F0H73nNQP8o/s1600/3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-BmoMka0WJp0/U891Fp3XMmI/AAAAAAAAaLs/RkhLzNE9dFQ/s1600/4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-7UfXelPFviQ/U891GAKUYqI/AAAAAAAAaMA/6VTi1C2bzV4/s1600/5.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-9b_W2zWJhF8/U891GlVKBvI/AAAAAAAAaL0/Lez3Dk81esc/s1600/6.jpg)
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Babu na mjukuu wake wafanikiwa kuingia hatua ya tatu katika shindano la Tanzania Movie Talents
Washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents ambao ni babu na mjukuu wake kiuhalisia wakipongezana mara baada ya kufanikiwa kuingia hatua ya tatu ya kutafuta washiriki 15 bora na hatimaye kupatikana washindi watatu bora wa kanda ya kati ambapo kila mmoja ataondoka na kitita cha shilingi laki tano za kitanzania.
Mmoja wa washiriki wa shindano la Tanzania Movie Talents akihojiwa na Msanii Joti mara baada ya kufanikiwa kuingia hatua ya tatu hapo kesho huku mjukuu wake pia akifanikiwa...
11 years ago
Dewji Blog07 Apr
112 wafanikiwa kuingia kwenye hatua ya pili shindano la Tanzania Movie Talents jijini Mwanza
Majaji wa Shindano la Kusaka la Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakijadiliana jambo wakati wa Zoezi la kusaka vipaji vya uigizaji kuingia Hatua ya pili kwa washiriki waliofanikiwa kupita kwenye mchujo.Kulia ni Single Mtambalike (Rich Rich), Ivon Chery (Monalisa) na Roy Sarungi.
Washiriki waliofanikiwa kuingia kwenye hatua ya pili wakifanyiwa usaili kwa ajili ya hatua ya pili sasa.
Muongozaji wa Mradi wa Shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza...