112 wafanikiwa kuingia kwenye hatua ya pili shindano la Tanzania Movie Talents jijini Mwanza
Majaji wa Shindano la Kusaka la Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakijadiliana jambo wakati wa Zoezi la kusaka vipaji vya uigizaji kuingia Hatua ya pili kwa washiriki waliofanikiwa kupita kwenye mchujo.Kulia ni Single Mtambalike (Rich Rich), Ivon Chery (Monalisa) na Roy Sarungi.
Washiriki waliofanikiwa kuingia kwenye hatua ya pili wakifanyiwa usaili kwa ajili ya hatua ya pili sasa.
Muongozaji wa Mradi wa Shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Babu na mjukuu wake wafanikiwa kuingia hatua ya tatu katika shindano la Tanzania Movie Talents
Washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents ambao ni babu na mjukuu wake kiuhalisia wakipongezana mara baada ya kufanikiwa kuingia hatua ya tatu ya kutafuta washiriki 15 bora na hatimaye kupatikana washindi watatu bora wa kanda ya kati ambapo kila mmoja ataondoka na kitita cha shilingi laki tano za kitanzania.
Mmoja wa washiriki wa shindano la Tanzania Movie Talents akihojiwa na Msanii Joti mara baada ya kufanikiwa kuingia hatua ya tatu hapo kesho huku mjukuu wake pia akifanikiwa...
11 years ago
GPLSHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI LAINGIA HATUA YA PILI LEO, KESHO WASHINDI KUPATIKANA
10 years ago
GPLSHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) KUFIKIA HATUA YA MWISHO
11 years ago
GPLSHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAANZA RASMI LEO JIJINI DAR, WASHINDI WATANO KUTAFUTWA
11 years ago
MichuziMAMIA WA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA KATIKA USAILI WA SHINDANO LA KUONYESHA VIPAJI VYA KUIGIZA LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS MUDA HUU
10 years ago
Michuzi17 Aug
Shindano la Tanzania Movie talents (TMT)
11 years ago
MichuziVIJANA WA NYEGEZI MWANZA WAHAMASISHWA KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS LITAKALOFANYIKA KESHO JUMAMOSI ISAMILO LODGE KUANZIA SAA MOJA ASUBUHI