Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI LAINGIA HATUA YA PILI LEO, KESHO WASHINDI KUPATIKANA‏


Kundi la Kwanza la Washiriki waliofanikiwa kuingia hatua ya pili ya Mchujo katika Mashindano ya Tanzania Movie Talents Mkoani Mbeya Wakipewa maelekezo kwaajili ya kuanza hatua ya mchujo leo.

  Washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents Mkoani Mbeya kanda ya Nyanda za Juu Kusini wakiwa katika mazoezi mara baada ya kukabidhiwa Muswada (script) ikiwa ni hatua ya pili sasa ya shindano hili…
...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Shindano ya Tanzania Movie Talents Kanda ya nyanda za juu kusini Mbeya lakamilika, washindi watatu wapatikana

Shindano la  Tanzania Movie Talents linaloendeshwa na kampuni ya Proin Promotion linalolenga kuinua vipaji kwa vijana ikiwa ni katika kuwatengenezea mazingira ya ajira katika maisha yao Nchi nzima kikanda lionekana kuwa msaada kwa vijana wengi waliokuwa wakijitokeza kushiriki mashindano hayo katika mikoa mbalimbali tulikopita.Shindano la ya Tanzania Movie Talents msimu wa pili 2015  lilioanza mwezi Aprili  kikanda kwa kuanza na kanda ya ziwa mwanza, Kanda ya kaskazini Arusha,Kanda ya kati...

 

11 years ago

GPL

SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA KANDA YA KUSINI, MAMIA WAJITOKEZA KUSHIRIKI‏


Baadhi ya washiriki kutoka Kanda ya Kusini wakiwa wamejitokeza katika usaili wa kushiriki shindano la Tanzania Movie Talent katika Ukumbi wa Safari lounge uliopo Eneo la Maduka Makubwa, Mtwara Mjini wakiwa kwenye foleni tayari kwa shindano kuanza.

Kundi la Kwanza la Washiriki wa Kanda ya Kusini wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kupewa semina elekezi juu ya maswala mbalimbali kuhusiana na filamu na maisha kwa...

 

11 years ago

GPL

SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAANZA RASMI LEO JIJINI DAR, WASHINDI WATANO KUTAFUTWA‏

 Msimamizi wa Mashindano ya Tanzania Movie Talents, Bw Tony Akwesa akitoa maelekezo kwa washiriki waliojitokeza kwaajili ya shindano la Tanzania Movie Talents kwa kanda ya Pwani unaoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Jijini Dar Es Salaam.
 Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuchukua fomu za ushiriki wa shindano la Tanzania Movie Talents lililoanza rasmi leo Kwa Kanda ya Pwani.
...

 

11 years ago

Dewji Blog

112 wafanikiwa kuingia kwenye hatua ya pili shindano la Tanzania Movie Talents jijini Mwanza

Majaji wa Shindano la Kusaka la Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakijadiliana jambo wakati wa Zoezi la kusaka vipaji vya uigizaji kuingia Hatua ya pili kwa washiriki waliofanikiwa kupita kwenye mchujo.Kulia ni Single Mtambalike (Rich Rich), Ivon Chery (Monalisa) na Roy Sarungi.

Washiriki waliofanikiwa kuingia kwenye hatua ya pili wakifanyiwa usaili kwa ajili ya hatua ya pili sasa.

movie talent

Muongozaji wa Mradi wa Shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza...

 

11 years ago

GPL

WASHINDI WA TMT KUTOKA KANDA YA ZIWA NA NYANDA ZA JUU KUSINI WAWASILI DAR ES SALAAM TAYARI KWA SAFARI YA KUSHINDANIA MILIONI 50‏


 Washindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kutoka Kanda ya Ziwa wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwl Nyerere, Jijini Dar Es Salaam jana kwaajili ya Kuingia kambini tayari kwa safari ya kushindania Milioni 50 katika fainali itakayofanyika Mwishoni mwa Mwezi wa Nane

 Washindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kanda ya Nyanda za Kusini, Stephen Mapunda(mwenye kofia nyekundu) na Mtawa...

 

11 years ago

Michuzi

MARA BAADA YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) KUMALIZIKA KANDA YA PWANI, WATANZANIA SASA KUANZA KUWAPIGIA KURA WASHINDI

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Proin Promotions katika Mradi wa Kusaka vipaji vya Kuigiza Nchini TMT (Tanzania Movie Talents) wakishangilia kwa kufungua Mvinyo usio na kilevi mara baada ya kumaliza zoezi la Kuzunguka Katika Kanda Sita nchini kwa kusaka Vipaji vya kuigiza ambapo zoezi hilo lilimalizika katika Kanda ya Pwani, Mkoani Dar Es Salaam ambapo washindi watano kutoka kanda ya Pwani walipatikana na Kupewa zawadi zao za Shilingi laki Tano Kila Mmoja na Kushiriki katika fainali ya Kuwania...

 

11 years ago

Michuzi

SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA KANDA YA KUSINI, MAMIA WAJITOKEZA KUSHIRIKI

Kundi la Kwanza la Washiriki wa Kanda ya Kusini wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kupewa semina elekezi juu ya maswala mbalimbali kuhusiana na filamu na maisha kwa ujumla wakati walipofika katika ukumbi wa safari lounge kwaajili ya kushiriki kwenye shindano la Tanzania Movie Talents linaloendelea kufanyika Mjini Mtwara leo.
Baadhi ya washiriki kutoka Kanda ya Kusini wakiwa wamejitokeza katika usaili wa Kushiriki shindano la Tanzania Movie Talent katika Ukumbi wa Safari lounge uliopo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani