Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAINALI YA TMT NDIO HABARI YA MJINI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Diamond Platnumz ndio habari ya mjini

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul 'Diamond' akiwa na tuzo yake akizunguka mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam baada ya kuwasili jana akitokea Marekani

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul ‘Diamond’ akiwa na tuzo yake akizunguka mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam baada ya kuwasili jana akitokea Marekani

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

MSANII mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasseb Abdul ‘Diamond’, jana amesherehekea tuzo yake ya Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki ya AFRIMMA kwa kupita mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam hadi nyumbani kwao alikokulia, Tandale.

Katika eneo hilo kulikuwa na muziki kwa ajili ya...

 

9 years ago

Habarileo

Fainali TMT Agosti 22

FAINALI za shindano la kusaka na kuibua vipaji vya uigizaji Tanzania (TMT) zinatarajiwa kufanyika Agosti 22 ambapo atajinyakulia Sh milioni 50. Akizungumza na waandishi wa habari jana Dar es Salaam, Meneja Masoko wa kampuni ya Proin Promotions, Josephat Lukaza alisema fainali hizo zitafanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.

 

9 years ago

GPL

FAINALI SHINDANO LA TMT, MSHINDI KUANDIKA HISTORIA

SIKU zikiwa zinahesabika kufikia Agosti 22, ndani ya Ukumbi wa Makumbusho, Posta jijini Dar ambapo shindano la kusaka vipaji vya kuigiza la Tanzania Movie Talents (TMT) linatarajiwa kufika kileleni, mshindi katika shindano hilo anatarajiwa kuweka historia ya aina yake. Akizungumza na Centre Spread, Meneja Mradi wa TMT, Saul Mpock alisema kuwa mwaka jana ambao ulikuwa ni msimu wa kwanza wa shindano hilo, Mwanaafa Mwinzago (13)...

 

9 years ago

GPL

KUELEKEA FAINALI 10 BOLA TMT WALIVYOPOKELEWA GLOBAL

Washiriki wakisikiliza kwa makini. MWISHONI mwa wiki iliyopita, washiriki walioingia kumi bora katika shindano la kusaka vipaji vya kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT) walitinga ndani ya Jengo la Global Publishers, Bamaga-Mwenge jijini Dar. Mhariri kiongozi wa Championi Saleh Ally, akizungumza na washiriki hao…

 

9 years ago

Michuzi

FAINALI ZA SHINDANO LA TMT KUFANYIKA AGOSTI 22 MWAKA HUU

 Wawezeshaji na Wadhamini wa shindano la Tanzania Movie Talent (TMT),Jaji Mkuu,Loy Sarungi(wa kwanza kutoka kushoto),Jaji katika shindano hilo Single Mtambalike(wa kwanza kutoka kushoto),Meneja Mawasiliano na Masoko wa Proin Promotion,Josephat Lukaza,Meneja Bidhaa wa Paisha,Godfrey Fataki na Meneja Masoko wa ITV,Ernest Dilli wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talent (TMT) litakalofanyika Agosti 22 katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar...

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA KUTOA BURUDANI KATIKA FAINALI YA TMT TAREHE 30 AUGUST 2014

Msanii wa Muziki wa Dansi, Christian Bella. Na Josephat Lukaza  Msanii wa Muziki wa Dansi anayejulikana kama Christian Bella anayetamba na kibao chake cha Nani Kama Mama ni Mmoja wa Wasanii watakaotoa Burudani ya Kufa mtu katika Ukumbi wa Mlimani City Siku ya Jumamosi Tarehe 30 katika Fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT). Bella Amehaidi kutoa Burudani ya uhakika ambapo wapenzi wa muziki wake watafurahi na...

 

9 years ago

Vijimambo

Fainali TMT 2015 #mpakakieleweke kufanyika tarehe 22 August Makumbusho ya Taifa Posta.

 Jaji Mkuu wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Roy Sarungi akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo Katika ofisi za Proin Promotions Ltd juu ya mchakato mzima wa fainali ya TMT itakayofanyika tarehe 22 August 2015 Katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Posta kwa kiingilio cha Shilingi Elfu Hamsini (50000) kwa viti maalumu na shilingi elfu thelathini (30000) kwa viti vya Kawaida.Mshindi katika fainali hiyo itaondoka na kitita cha Shilingi milioni hamsini (50,000,000)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani