KUELEKEA FAINALI 10 BOLA TMT WALIVYOPOKELEWA GLOBAL
Washiriki wakisikiliza kwa makini. MWISHONI mwa wiki iliyopita, washiriki walioingia kumi bora katika shindano la kusaka vipaji vya kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT) walitinga ndani ya Jengo la Global Publishers, Bamaga-Mwenge jijini Dar. Mhariri kiongozi wa Championi Saleh Ally, akizungumza na washiriki hao…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWIKI 3 KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TMT, WASHIRIKI WENGINE 2VWAAGA SHINDANO
11 years ago
Dewji Blog27 Jun
Washiriki wa fainali za shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) watembelea Ofisi za Global Publishers leo
Washiriki wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambao ni washindi wa TMT kutoka kanda sita za Tanzania wakisikiliza maelezo kwa makini kutoka kwa Mmoja wa Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers Limited (hayupo pichani).
Mmoja wa washiriki wa fainali wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambae pia ni mshindi kutoka kanda ya Kati Mkoa wa Dodoma Mwinshehe Mohamed akijitambulisha mbele ya wafanyakazi wa Kampuni ya Kubwa ya Habari ya Global Publishers Limited...
11 years ago
MichuziWASHIRIKI WA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) WATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LEO
Bamaga Mwenge Jijini Dar Es...
11 years ago
MichuziWIKI TATU KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MPVIE TALENTS (TMT), WASHIRIKI WENGINE WAWILI WAAGA SHINDANO WIKI HII
10 years ago
Habarileo20 Aug
Fainali TMT Agosti 22
FAINALI za shindano la kusaka na kuibua vipaji vya uigizaji Tanzania (TMT) zinatarajiwa kufanyika Agosti 22 ambapo atajinyakulia Sh milioni 50. Akizungumza na waandishi wa habari jana Dar es Salaam, Meneja Masoko wa kampuni ya Proin Promotions, Josephat Lukaza alisema fainali hizo zitafanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.
11 years ago
GPL
10 years ago
GPL
FAINALI SHINDANO LA TMT, MSHINDI KUANDIKA HISTORIA
10 years ago
MichuziFAINALI ZA SHINDANO LA TMT KUFANYIKA AGOSTI 22 MWAKA HUU
11 years ago
GPL
TMT WAPATA ELIMU GLOBAL