Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fainali TMT Agosti 22

FAINALI za shindano la kusaka na kuibua vipaji vya uigizaji Tanzania (TMT) zinatarajiwa kufanyika Agosti 22 ambapo atajinyakulia Sh milioni 50. Akizungumza na waandishi wa habari jana Dar es Salaam, Meneja Masoko wa kampuni ya Proin Promotions, Josephat Lukaza alisema fainali hizo zitafanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

FAINALI ZA SHINDANO LA TMT KUFANYIKA AGOSTI 22 MWAKA HUU

 Wawezeshaji na Wadhamini wa shindano la Tanzania Movie Talent (TMT),Jaji Mkuu,Loy Sarungi(wa kwanza kutoka kushoto),Jaji katika shindano hilo Single Mtambalike(wa kwanza kutoka kushoto),Meneja Mawasiliano na Masoko wa Proin Promotion,Josephat Lukaza,Meneja Bidhaa wa Paisha,Godfrey Fataki na Meneja Masoko wa ITV,Ernest Dilli wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talent (TMT) litakalofanyika Agosti 22 katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar...

 

9 years ago

GPL

FAINALI SHINDANO LA TMT, MSHINDI KUANDIKA HISTORIA

SIKU zikiwa zinahesabika kufikia Agosti 22, ndani ya Ukumbi wa Makumbusho, Posta jijini Dar ambapo shindano la kusaka vipaji vya kuigiza la Tanzania Movie Talents (TMT) linatarajiwa kufika kileleni, mshindi katika shindano hilo anatarajiwa kuweka historia ya aina yake. Akizungumza na Centre Spread, Meneja Mradi wa TMT, Saul Mpock alisema kuwa mwaka jana ambao ulikuwa ni msimu wa kwanza wa shindano hilo, Mwanaafa Mwinzago (13)...

 

9 years ago

GPL

KUELEKEA FAINALI 10 BOLA TMT WALIVYOPOKELEWA GLOBAL

Washiriki wakisikiliza kwa makini. MWISHONI mwa wiki iliyopita, washiriki walioingia kumi bora katika shindano la kusaka vipaji vya kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT) walitinga ndani ya Jengo la Global Publishers, Bamaga-Mwenge jijini Dar. Mhariri kiongozi wa Championi Saleh Ally, akizungumza na washiriki hao…

 

10 years ago

GPL

FAINALI MISS TEMEKE 2014 KUFANYIKA AGOSTI 22

Vimwana wa Miss Temeke 2014 wakiwa kwenye pozi la pamoja ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao ya kuelekea kwenye kinyang'anyiro chao kitakachofanyika kwenye Ukumbi wa TCC, Chang'ombe jijini Dar es Salaam Agosti 22, 2014. Jumla ya washiriki 17 watapanda jukwaani siku hiyo kuwania taji hilo. Warembo…

 

10 years ago

Michuzi

FAINALI YA TMT KUFANYIKA TAREHE 22 AUGUST NDANI YA MAKUMBUSHO YA TAIFA JIJINI DAR

Shindano la kuibua na Kusaka Vipaji vya Kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT) ambalo limedumu kwa takribani Miezi Minne hatimaye shindano hilo linakaribia kufika tamati mnamo tarehe 22 August 2015 huku Mshindi Mmoja Akiondoka Na Kitita Cha Shilingi Milioni Hamsini Za Kitanzania. Na Washiriki waliofanikiwa kuingia Hatua ya Kumi bora watapata kifuta jasho huku wakiwa na mkataba mnono wa kufanya kazi na Kampuni namba moja ya Kutengeneza na Kusambaza filamu za Kitanzania ambao...

 

9 years ago

Vijimambo

Fainali TMT 2015 #mpakakieleweke kufanyika tarehe 22 August Makumbusho ya Taifa Posta.

 Jaji Mkuu wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Roy Sarungi akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo Katika ofisi za Proin Promotions Ltd juu ya mchakato mzima wa fainali ya TMT itakayofanyika tarehe 22 August 2015 Katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Posta kwa kiingilio cha Shilingi Elfu Hamsini (50000) kwa viti maalumu na shilingi elfu thelathini (30000) kwa viti vya Kawaida.Mshindi katika fainali hiyo itaondoka na kitita cha Shilingi milioni hamsini (50,000,000)...

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA KUTOA BURUDANI KATIKA FAINALI YA TMT TAREHE 30 AUGUST 2014

Msanii wa Muziki wa Dansi, Christian Bella. Na Josephat Lukaza  Msanii wa Muziki wa Dansi anayejulikana kama Christian Bella anayetamba na kibao chake cha Nani Kama Mama ni Mmoja wa Wasanii watakaotoa Burudani ya Kufa mtu katika Ukumbi wa Mlimani City Siku ya Jumamosi Tarehe 30 katika Fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT). Bella Amehaidi kutoa Burudani ya uhakika ambapo wapenzi wa muziki wake watafurahi na...

 

10 years ago

GPL

‘TANZANIA MOVIE TALENTS’ FAINALI KUFANYIKA AGOSTI 30

Kutoka kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TMT, Josephat  Lukaza, Mwalimu wa Nidhamu Julieth Samson ‘’Kemmy’’ , Mratibu wa shindano, Joshua Moshi, na mchekeshaji MC Pilipili wakiwa mbele ya wanahabari ( hawapo pichani). Wanahabari  na wadau wakisikiliza taarifa ya fainali za TMT.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani