CHRISTIAN BELLA KUTOA BURUDANI KATIKA FAINALI YA TMT TAREHE 30 AUGUST 2014

Msanii wa Muziki wa Dansi, Christian Bella. Na Josephat Lukaza Msanii wa Muziki wa Dansi anayejulikana kama Christian Bella anayetamba na kibao chake cha Nani Kama Mama ni Mmoja wa Wasanii watakaotoa Burudani ya Kufa mtu katika Ukumbi wa Mlimani City Siku ya Jumamosi Tarehe 30 katika Fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT). Bella Amehaidi kutoa Burudani ya uhakika ambapo wapenzi wa muziki wake watafurahi na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
CHRISTIAN BELLA KUTOA BURUDANI YA KUFA MTU KATIKA FAINALI YA TMT TAREHE 30 AUGUST 2014 PALE MLIMANI CITY

Msanii wa Muziki wa Dansi anayejulikana kama Christian Bella anayetamba na kibao chake cha Nani Kama Mama ni Mmoja wa Wasanii watakaotoa Burudani ya Kufa mtu katika Ukumbi wa Mlimani City Siku ya Jumamosi Tarehe 30 katika Fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).
Bella Amehaidi kutoa Burudani ya uhakika ambapo wapenzi wa muziki wake watafurahi na kufurahishwa na show atakayoitoa siku hiyo katika Fainali ya Kumkabidhi Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie...
11 years ago
Dewji Blog23 Aug
Christian Bella kutoa burudani ya kufa mtu katika fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) tarehe 30 August 2014 Mlimani City
Christian Bella
Na Josephat Lukaza
Msanii wa Muziki wa Dansi anayejulikana kama Christian Bella anayetamba na kibao chake cha Nani Kama Mama ni Mmoja wa Wasanii watakaotoa Burudani ya Kufa mtu katika Ukumbi wa Mlimani City Siku ya Jumamosi Tarehe 30 katika Fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).
Bella Amehaidi kutoa Burudani ya uhakika ambapo wapenzi wa muziki wake watafurahi na kufurahishwa na show atakayoitoa siku hiyo katika Fainali ya Kumkabidhi Mshindi wa Shindano la...
11 years ago
Dewji Blog27 Aug
Fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) kufanyika tarehe 30 August 2014 ndani ya ukumbi wa Mlimani City
Mc Pilipili akiongea mbele ya Waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari kuhusiana na fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) litakalofanyika tarehe 30 August 2014 katika Ukumbi wa Mlimani City kuanzia Mida ya Saa 7:30 PM (Usiku) huku viingilio vikiwa ni Elfu Hamsini (50,000/=) kwa V.I.P na Elfu thelethini (30,000/=) kwa Kawaida. Wapili Kushoto ni Meneja Mradi TMT Joshua Moshi, Julieth Samson “Kemmy” ambae ni Mwalimu wa Nidhamu na Afisa Uhusiano TMT,...
10 years ago
Michuzi
FAINALI YA TMT KUFANYIKA TAREHE 22 AUGUST NDANI YA MAKUMBUSHO YA TAIFA JIJINI DAR

10 years ago
VijimamboFainali TMT 2015 #mpakakieleweke kufanyika tarehe 22 August Makumbusho ya Taifa Posta.
11 years ago
Dewji Blog17 Aug
Washiriki 10 wa shindano la TMT wafanikiwa kuingia fainali, mshindi mmoja kuondoka na milioni 50 katika ukumbi wa Mlimani City tarehe 30 mwezi huu
Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakifuatilia Filamu fupi iliyochezwa na baadhi ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie talents (TMT) wakati ilipokua ikionyeshwa kwenye runinga kubwa katika Ukumbi wa Makumbusho. Kutoka Kulia ni Single Mtambalike au Rich Rich katikati ni Vyonne Cherry au Monalisa na Kushoto ni Jaji Mkuu wa Shindano hilo Roy Sarungi.
Mahosti wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwajibika katika Jukwaa la Ukumbi wa Makumbusho ya...
10 years ago
Bongo520 Aug
Christian Bella hana mpango wa kutoa album
10 years ago
Bongo515 Oct
Christian Bella adai fedha alizotunzwa kwenye fainali ya BSS ni shilingi milioni 3.2
11 years ago
GPL
LUIS FIGO, CHRISTIAN KAREMBEU NA FERNANDO SANZ DURAN WAAHIDI KUTOA BURUDANI SAFI KWA WATANZANIA