Christian Bella adai fedha alizotunzwa kwenye fainali ya BSS ni shilingi milioni 3.2
Christian Bella amesema show yake ya fainali ya Bongo Star Search Ijumaa iliyopita, ilimuingiza fedha za kutunzwa nyingi zaidi kuliko show zote alizowahi kufanya. Bella ameiambia Bongo5 kuwa ni mara yake ya kwanza kutunzwa zaidi ya shilingi milioni 3 na hivyo anawashukuru watanzania kwa upendo wanaomwonyesha. “Unajua mimi nimekuwa nikitunzwa pesa nyingi lakini haikuwahi kufika […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Oct
Picha: Runtown, Christian Bella, Navy Kenzo, Peter Msechu na Kala walivyotumbuiza kwenye BSS
9 years ago
Bongo508 Sep
Walter Chilambo adai hajawahi kutumia milioni 50 za BSS kwenye muziki wake
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKb27P3JwiHOLE0PU-xrc7lTy4NJdQros2HRDf6ffqp8Mk9W*zq5lUbvl2JxN7cTGqLWdJ2tTCKxSnNWe5gqhc9qfOAzv3Ps/BELA.jpg)
CHRISTIAN BELLA ADAI HATOI WIMBO MPYA ILI APATE TUZO
10 years ago
Mtanzania20 Apr
Christian Bella: Video yangu ni milioni 17 tu
NA MWALI IBRAHIM
MWANAMUZIKI mahiri wa muziki wa Dansi nchini, Christian Bella ‘King of the best melody’ ametamba kuwa video ya wimbo wake mpya wa ‘Nashindwa’ ndiyo bora kati ya nyimbo za dansi nchini. Bella alisema ubora huo unatokana na kuwekeza milioni 17 kwa ajili ya video hiyo ambayo picha zake zimefanyika nchini Afrika Kusini, ambapo sasa wanakumbwa na aibu ya kushambulia wageni. Bella alichambua kwamba gharama hizo zinatokana na usafiri, maandalizi yote na kukamilika kwa video hiyo...
10 years ago
Mwananchi14 Jan
Christian Bella atenga Sh68 milioni kujilipua kimataifa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t8oueEU5ZFIbylWiC6k6L0ujTF3Z4j1aPrWuUBQHeiqpdzV*9RUGt4qV0U-lQ8wAapcGFZXOEM53zoWd2K2*IdsO4cF0uu6U/bella.jpg?width=650)
CHRISTIAN BELLA KUTOA BURUDANI KATIKA FAINALI YA TMT TAREHE 30 AUGUST 2014
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-5xw24_e43CY/U_ckxhNxUYI/AAAAAAAGBWM/WtN5oI0nSAE/s72-c/bella.jpg)
CHRISTIAN BELLA KUTOA BURUDANI YA KUFA MTU KATIKA FAINALI YA TMT TAREHE 30 AUGUST 2014 PALE MLIMANI CITY
![](http://2.bp.blogspot.com/-5xw24_e43CY/U_ckxhNxUYI/AAAAAAAGBWM/WtN5oI0nSAE/s1600/bella.jpg)
Msanii wa Muziki wa Dansi anayejulikana kama Christian Bella anayetamba na kibao chake cha Nani Kama Mama ni Mmoja wa Wasanii watakaotoa Burudani ya Kufa mtu katika Ukumbi wa Mlimani City Siku ya Jumamosi Tarehe 30 katika Fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).
Bella Amehaidi kutoa Burudani ya uhakika ambapo wapenzi wa muziki wake watafurahi na kufurahishwa na show atakayoitoa siku hiyo katika Fainali ya Kumkabidhi Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie...
10 years ago
Dewji Blog23 Aug
Christian Bella kutoa burudani ya kufa mtu katika fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) tarehe 30 August 2014 Mlimani City
Christian Bella
Na Josephat Lukaza
Msanii wa Muziki wa Dansi anayejulikana kama Christian Bella anayetamba na kibao chake cha Nani Kama Mama ni Mmoja wa Wasanii watakaotoa Burudani ya Kufa mtu katika Ukumbi wa Mlimani City Siku ya Jumamosi Tarehe 30 katika Fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).
Bella Amehaidi kutoa Burudani ya uhakika ambapo wapenzi wa muziki wake watafurahi na kufurahishwa na show atakayoitoa siku hiyo katika Fainali ya Kumkabidhi Mshindi wa Shindano la...
9 years ago
Bongo530 Sep
Msanii wa Nigeria kutumbuiza kwenye fainali za BSS Oct 9, mfahamu hapa