Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Christian Bella: Video yangu ni milioni 17 tu

christNA MWALI IBRAHIM

MWANAMUZIKI mahiri wa muziki wa Dansi nchini, Christian Bella ‘King of the best melody’ ametamba kuwa video ya wimbo wake mpya wa ‘Nashindwa’ ndiyo bora kati ya nyimbo za dansi nchini. Bella alisema ubora huo unatokana na kuwekeza milioni 17 kwa ajili ya video hiyo ambayo picha zake zimefanyika nchini Afrika Kusini, ambapo sasa wanakumbwa na aibu ya kushambulia wageni. Bella alichambua kwamba gharama hizo zinatokana na usafiri, maandalizi yote na kukamilika kwa video hiyo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Hakuna msanii Bongo anayefanya show nyingi zaidi yangu — Christian Bella

Mfalme wa masauti, Christian Bella aka Obama amejigamba kuwa hakuna msanii hapa Tanzania anayefanya show nyingi kuliko yeye. Bella ameiambia Bongo5 kuwa kama akiamua kufuata mahitaji ya watu wanaomwitaji hawezi kupata muda wa kupunzika. “Unajua nyimbo zangu zimefanya watu wanihitaji sana,” amesema muimbaji huyo. “Hakuna msanii anayefanya show nyingi hapa Bongo kunizidi mimi. Yaani napigiwa […]

 

10 years ago

Mwananchi

Christian Bella atenga Sh68 milioni kujilipua kimataifa

Jaribu kufikiria mwimbaji wa nyimbo maarufu kama Safari Siyo Kifo, Yako Wapi Mapenzi, Nani Kama Mama, Usilie na nyinginezo anapoamua kutengeneza video na watayarishaji wakubwa Afrika nini kitatokea?

 

9 years ago

Bongo5

Christian Bella adai fedha alizotunzwa kwenye fainali ya BSS ni shilingi milioni 3.2

Christian Bella amesema show yake ya fainali ya Bongo Star Search Ijumaa iliyopita, ilimuingiza fedha za kutunzwa nyingi zaidi kuliko show zote alizowahi kufanya. Bella ameiambia Bongo5 kuwa ni mara yake ya kwanza kutunzwa zaidi ya shilingi milioni 3 na hivyo anawashukuru watanzania kwa upendo wanaomwonyesha. “Unajua mimi nimekuwa nikitunzwa pesa nyingi lakini haikuwahi kufika […]

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: ALI KIBA & CHRISTIAN BELLA - NAGHARAMIA (Official Video)



Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Pah One Ft Christian Bella – Magoma

pah-one

Kundi la Pah One wameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Magoma” wamemshirikisha Christian Bella, Video imeongozwa na Minzi Mims.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani