Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msanii wa Nigeria kutumbuiza kwenye fainali za BSS Oct 9, mfahamu hapa

Msanii wa Nigeria, Runtown ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye fainali za shindano la Bongo Star Search, imefahamika. Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Production na ambaye pia ni jaji mkuu wa shindano hilo, Rita Paulsen alipokuwa akijibu maswali ya mashabiki kwenye Instagram Jumatano hii. Madam Rita amedai kuwa pamoja na Runtown […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Msanii Davido kutoka nchini Nigeria kutumbuiza jukwaa moja na msanii T.I kutoka nchini Marekani tamasha la Fiesta 2014.


  Mwanamuziki kutoka nchini Marekani ajulikanae kwa jina la Kisanii T.I akizungumza na Waandishi wa Habari jioni ya leo kwenye moja ya ukumbi wa Sea Cliff hotel jijini Dar kuhusiana na onesho lake la kwanza atakalotumbuiza katika viwanja vya leaders Club,jijini Dar katika tamasha la Fiesta 2014,ambalo hufanyika kila mwaka mara moja,chini ya waandaji bingwa wa burudani hapa nchini kampuni ya Prime Time Promotions Lts sambamba na Clouds Media Group.. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya...

 

9 years ago

Bongo5

Christian Bella adai fedha alizotunzwa kwenye fainali ya BSS ni shilingi milioni 3.2

Christian Bella amesema show yake ya fainali ya Bongo Star Search Ijumaa iliyopita, ilimuingiza fedha za kutunzwa nyingi zaidi kuliko show zote alizowahi kufanya. Bella ameiambia Bongo5 kuwa ni mara yake ya kwanza kutunzwa zaidi ya shilingi milioni 3 na hivyo anawashukuru watanzania kwa upendo wanaomwonyesha. “Unajua mimi nimekuwa nikitunzwa pesa nyingi lakini haikuwahi kufika […]

 

11 years ago

Bongo5

Shakira, Wycleif Jean na Carlos Santana kutumbuiza kwenye fainali ya kombe la dunia

Muimbaji mrembo mwenye asili ya Colombia, Shakira atatumbuiza kabla ya mechi ya fainali ya kombe la dunia itakayofanyika Rio de Janeiro,Brazil, July 13. Wengine watakaotumbuiza siku hiyo ni mcheza gitaa maarufu Carlos Santana na rapper Wyclef Jean. Shirikisho la soka duniani, FIFA limesema Shakira, ambaye atatumbuiza kwa mara ya tatu mfululizo kwenye fainali za kombe […]

 

9 years ago

Bongo5

Tekno wa Nigeria kutumbuiza jijini Dar kwenye mkesha wa mwaka mpya

tekno-miles-1

Msanii wa Nigeria anayefanya vizuri kwa sasa na hit song yake ‘Duro’, Tekno Miles anatarajiwa kutua jijini Dar es salaam wiki hii kwaajili ya kufunga mwaka na mashabiki wake wa Tanzania.

tekno-miles-1

Tekno ambaye wiki chache zilizopita ameachia wimbo mpya ‘Wash’ unaoendelea kufanya vizuri, anatarajiwa kufanya show kwenye siku ya mwisho ya mwaka huu December 31, kwenye ukumbi wa King Solomon jijini Dar.

Kupitia akaunti yake ya Insta, Tekno aliyewahi kudaiwa kuwa na mahusiano na Agnes Masogange ameonesha...

 

9 years ago

Michuzi

FAINALI YA BSS 2015 KUFANYIKA OKTOBA 9 MWAKA HUU JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwandaaji  wa   Bongo Star Search, Rita Paulsen akizungumza na waandishi wa habari( hawapo pichani)  juu ya fainali ya (BSS) itakayofanyika Ijumaa ya Oktoba 9 mwaka huu katika ukumbi wa King Solomoni Hall uliopo karibu na Nyumbani Lounge au Eaters Point  eneo la Namanga  kuanzia saa moja jioni kikao hicho kimefanyika leo Jiji Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko  wa Huawei  Samson Majwala. Baadhi ya Wandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini  Mwandaaji  wa Bongo Star Search...

 

10 years ago

Michuzi

Erick na Fred Omondi kutumbuiza Siku Ya Msanii

MSANII wa vichekesho kutoka Kenya, Fred Omondi akisaini mkataba wa kufanya onyesho la Siku Ya Msanii katika ofisi za Siku Ya Msanii, Mikocheni Dar es Salaam, pembeni ni Mratibu wa Siku Ya Msanii, Justin Jones Kussaga. Picha zingine ni Erick Omondi

WACHEKESHAJI maarufu kutoka nchini Kenya, Erick Omondi na Fred Omondi wamealikwa kutumbuiza katika Tamasha la Siku Ya Msanii litakalofanyika Jumamosi ijayo kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.


Mratibu wa Siku Ya Msanii, Justin Jones...

 

9 years ago

Mtanzania

Bitchuka, Sikinde kutumbuiza Siku ya Msanii kesho

Bitchuka,NA MWANDISHI WETU

MWANAMUZIKI mahiri nchini, Hassan Rehani Bitchuka, leo ataongoza kikosi kamili cha bendi ya Mlimani Park Orchestra kutoa burudani katika onyesho la kazi za wasanii katika viwanja vya Makumbusho, Posta, jijini Dar es Salaam.

Maonyesho hayo ni sehemu ya shamrashamra za kuelekea Tuzo za Siku ya Msanii, iliyozinduliwa juzi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, ambaye aliwakilishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene.

Mlimani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani