Mkuu wa QPR aomba radhi
Mwenyekiti wa QPR ameomba msamaha kwa misuko suko inayoshuhudiwa katika klabu hiyo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEbifnOqun0OnM9APhlFJ*wZo2xQlo2h3-BVoop7N861rRiAhwnzLd2KmuzsT0ZM1SltjFyZ5zCvmB-9i18Mxap78-PyE3nE/rose_muhando2.jpg)
ROSE MUHANDO AOMBA RADHI!
Brighton Masalu
MWIMBAJI nyota wa nyimbo za Injili, Rose Muhando, amewaomba radhi watu wote aliowahi kuwakwaza, ikiwa ni pamoja na kuchukua fedha za kushiriki onesho, lakini akashindwa kufanya hivyo, akidai ni ubinadamu. ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1PyG6EX
11 years ago
BBCSwahili12 May
Mmiliki wa clippers aomba radhi
Mmiliki wa klabu ya mpira wa vikapu ya Los Angeles Clippers, Donald Sterling, ameomba radhi kwa matamshi yake ya kibaguzi.
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Wayne Rooney aomba radhi
Golikipa wa timu ya Preston Thorsten Stuckmann ameeleza kuwa mshambuliaji Wayne Rooney alimuomba msamaha baada ya kuanguka katika eneo la hatari na kupata mkwaju wa penati.
10 years ago
BBCSwahili25 Jun
Tsarnaev aomba radhi waathirika .
Dzhokhar Tsarnaev aliyefanya shambulio la bomu katika mbio za marathon mjini Boston ameomba radhi kwa waathirika wa tukio hilo.
10 years ago
BBCSwahili01 May
Nigel Pearson aomba radhi
Meneja wa Leicester City Nigel Pearson ameomba radhi kwa mwandishi wa habari aliyemtukana
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Linex aomba radhi mashabiki wake
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Sunday Mangu amewataka radhi mashabiki wake kwa kushindwa kufanya uzinduzi wa video yake ya ‘Wema Kwa Ubaya’ ambayo alipanga kuizindua Agosti 31, katika ukumbi...
10 years ago
BBCSwahili05 Jan
Mourinho aomba radhi kumkosoa mwamuzi
Mourinho aomba radhi kumkosoa mwamuzi baada ya kunyimwa Penalti kwenye mchuano wa Kombe la FA
11 years ago
BBCSwahili11 Feb
Mhuburi aomba radhi baada ya kuzini
Mhubiri mmoja mkristo nchini Kenya ameomba msamaha kanisani baada ya kupatikana akishiriki ngono na mke wa mwanamume mwingine.
11 years ago
BBCSwahili02 Jun
Justin Bieber aomba radhi kwa ubaguzi
Justin Bieber, ameoamba radhi kwa kutumia neno la kibaguzi wakati akiwakejeli wamarekani weusi kuhusu swala la ubaguzi wa rangi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania