Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mmiliki wa clippers aomba radhi

Mmiliki wa klabu ya mpira wa vikapu ya Los Angeles Clippers, Donald Sterling, ameomba radhi kwa matamshi yake ya kibaguzi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Nigel Pearson aomba radhi

Meneja wa Leicester City Nigel Pearson ameomba radhi kwa mwandishi wa habari aliyemtukana

 

9 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AOMBA RADHI!

Brighton Masalu MWIMBAJI nyota wa nyimbo za Injili, Rose Muhando, amewaomba radhi watu wote aliowahi kuwakwaza, ikiwa ni pamoja na kuchukua fedha za kushiriki onesho, lakini akashindwa kufanya hivyo, akidai ni ubinadamu. ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1PyG6EX

 

10 years ago

BBCSwahili

Tsarnaev aomba radhi waathirika .

Dzhokhar Tsarnaev aliyefanya shambulio la bomu katika mbio za marathon mjini Boston ameomba radhi kwa waathirika wa tukio hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wayne Rooney aomba radhi

Golikipa wa timu ya Preston Thorsten Stuckmann ameeleza kuwa mshambuliaji Wayne Rooney alimuomba msamaha baada ya kuanguka katika eneo la hatari na kupata mkwaju wa penati.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa QPR aomba radhi

Mwenyekiti wa QPR ameomba msamaha kwa misuko suko inayoshuhudiwa katika klabu hiyo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Linex aomba radhi mashabiki wake

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Sunday Mangu amewataka radhi mashabiki wake kwa kushindwa kufanya uzinduzi wa video yake ya ‘Wema Kwa Ubaya’ ambayo alipanga kuizindua Agosti 31, katika ukumbi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mourinho aomba radhi kumkosoa mwamuzi

Mourinho aomba radhi kumkosoa mwamuzi baada ya kunyimwa Penalti kwenye mchuano wa Kombe la FA

 

11 years ago

BBCSwahili

Mhuburi aomba radhi baada ya kuzini

Mhubiri mmoja mkristo nchini Kenya ameomba msamaha kanisani baada ya kupatikana akishiriki ngono na mke wa mwanamume mwingine.

 

10 years ago

BBCSwahili

Zimbabwe: Aliyemuua simba Cecil aomba radhi

Raia wa Marekani anayeshtumiwa kwa kuua simba maarufu nchini Zimbabwe ameomba radhi akisema hakujua simba huyo alikuwa amelindwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani