Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marafiki hawatambui ndoa ya Ramsey Nouah

DSC_3290NA BADI MCHOMOLO
NDOA ya msanii maarufu wa filamu nchini Nigeria, Ramsey Nouah, haitambuliki kwa jamii japokuwa ana mke na watoto wawili.
Watu wengi nchini humo wanaamini kuwa msanii huyo ana mke ambaye anajulikana kwa jina la Emelia Philips, mama wa watoto wawili, lakini rafiki wa karibu na msanii huyo amesema kwamba wawili hao bado hawajafunga ndoa.
“Wangekuwa wamefunga ndoa lazima wangekuwa na cheti, lakini hadi leo hawana cheti ina maana hawa bado wanaishi kwa miaka yote bila ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Ramsey Nouah kutua Kenya

RAMSEY NUOHNAIROBI, KENYA

MKALI wa filamu nchini Nigeria, Ramsey Nouah, anatarajia kuwasili nchini Kenya kwa ajili ya tamasha la utengenezaji wa filamu bora.

Msanii huyo aliyefanya vizuri kuitangaza tasnia ya filamu ndani na nje ya nchi yao na pia kujijengea upendo mkubwa kwa mashabiki wake hasa wa kike, anatarajiwa kutua nchini humo Desemba 18.

Ramsey Nouah amewataka wapenzi wa filamu nchini humo wajitokeze kwa wingi ili kupata elimu ya filamu itakayoambatana na mashindano ya mitindo...

 

10 years ago

GPL

RAMSEY NOUAH ALIA NA ‘MEDIA’

Staa anayekimbiza katika lamu Nollywood, Ramsey Nouah. Lagos, Nigeria
STAA anayekimbiza katika lamu Nollywood, Ramsey Nouah amevililia vyombo vya habari ‘media’ kuwa vinamharibia ndoa yake. Akichonga na Jarida la Vanguard, Ramsey anayebamba na lamu ya 30 Days in Atlanta alisema amekuwa ngao katika familia yake katika kuikinga dhidi ya media. “Media zinaharibu sana ndoa. Lakini asante wameshindwa na ndoa...

 

9 years ago

GPL

GENEVIEVE NNAJI, RAMSEY NOUAH, DESMOND ELLIOTT NA RITA DOMINIC WAINADI DSTV

Waigizaji maarufu wa filamu nchini Nigeria, Ramsey Nouah (kushoto) Rita Dominic na Desmond Elliott wakiwa nchini Mauritius. Nguli hao wakiwa katika pozi. Rita na Desmond.…

 

9 years ago

Global Publishers

Marafiki wasishike ndoa yako, utajuta!

Vanessa3HABARI zenu wapenzi wasomaji wa kona hii, kama mnaendelea vema nashukuru kwa hilo, leo kungwi nimekuja kuwaasa akina mama wenye ndoa ambao mnajisahau kwa kudanganywa na marafiki.

Kumbuka marafiki wengine huwa hawapendi mema ya rafiki zao, shtuka mapema bibi ukiona mwenendo siyo achana na marafiki wabaya.Ndoa ni daraja, kama zima unatakiwa kulivuka, kama bovu pia unatakiwa kulivuka, kama ni bovu lifanyie ukarabati kwa sababu unatakiwa kuvuka.

Kwenye ndoa kuna misukosuko mingi ndiyo maana...

 

9 years ago

GPL

RANSEY NOUAH AKATAA KUJIUNGA NA SIASA

Muigizaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, Ramsey Nouah. Muigizaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, Ramsey Nouah amekaririwa akisema kuwa, yuko tofauti kabisa na wasanii wenzake wa nchini humo wanaokimbilia kwenye siasa kila kukicha na kuongeza kuwa mashabiki wake wasitegemee Ramsey kujiunga na siasa. Akifanyiwa mahojiano maalum na mtandao wa NET wa nchini humo, Ramsey alisema kuwa: ‘Sijui jinsi gani naweza kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ramsey kuivaa Southampton.

MENEJA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amebainisha kuwa nahodha wake Mikael Arteta atachelewa kidogo kupona majeruhi .

 

10 years ago

BBCSwahili

Ramsey atolewa kwa kadi ya njano

Mchezaji Ramsey jana amejikuta matatani baada ya kutolewa nje ya uwanja kutokana na kupewa kadi ya pili ya njano.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ubaguzi wa rangi wamtisha Chris Ramsey

Meneja wa timu ya QPR Chris Ramsey amesema asili yake ya rangi nyeusi itampa wakati mgumu kupata kazi

 

10 years ago

BBCSwahili

Ramsey sasa ndio mkufunzi mkuu wa QPR

Kilabu ya QPR imemuajiri Chris Ramsey kama mkufunzi mkuu kwa kandarasi ya miaka mitatu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani