Ramsey atolewa kwa kadi ya njano
Mchezaji Ramsey jana amejikuta matatani baada ya kutolewa nje ya uwanja kutokana na kupewa kadi ya pili ya njano.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Jul
BRAZIL 2014: Brazil yakata rufaa kadi za njano za Thiago Silva
>Brazil imekata rufaa juu ya adhabu ya kukosa mchezo mmoja kwa nahodha wake, Thiago Silva mwenye kadi mbili za njano, ambazo zinamaanisha atalazimika kukosa mchezo wa leo dhidi ya Ujerumani.
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Kuwa wa kisasa kwa kutoka na rangi ya njano
Kawaida katika fasheni kama ilivyo fani nyingine, mitindo huenda na kurudi. Hivyo si jambo la ajabu kwa sasa kukuta mitindo iliyofanya vizuri kwenye miaka ya themanini inaonekana kuwa juu kwa sasa.
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-DS2MVavE1Y0/VRq3EMRvWGI/AAAAAAAAPg8/CJn969KZlmg/s1600/1.jpg?width=650)
ASKOFU GWAJIMA ATOLEWA POLISI KWA DHAMANA
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa kwenye baiskeli ya wagonjwa Hospitali ya TMJ Dar es Salam jana mchana akielekea Kituo cha Polisi cha Oyterbay kupewa dhamana. Gwajima akiingia kwenye gari huku akiwa na maumivu makali wakati akielekea kituoni hapo kupewa dhamana. Wanahabari wakitoka kituo cha polisi Oysterbay kufuatilia … ...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-A7_xCbvQWek/UznO3xwlMFI/AAAAAAAA4NQ/zZKp1X4NfVA/s72-c/NHIF+1.jpg)
BARAZA LA MADIWANI LA MJI KOROGWE LAUPOKEA KWA MIKONO MIWILI MPANGO TIBA KWA KADI (TIKA)
![](http://1.bp.blogspot.com/-A7_xCbvQWek/UznO3xwlMFI/AAAAAAAA4NQ/zZKp1X4NfVA/s1600/NHIF+1.jpg)
10 years ago
Mwananchi29 Oct
Sasa umiss kwa kadi ya kliniki
Katika hali ya kuchukua ahadhari zaidi, waandaaji wa mashindano ya kumsaka Miss Universe Tanzania 2014, wameamua kutumia kadi za kliniki za watoto kujiridhisha katika suala la kupata umri halisi wa warembo wao.
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Kumuona mgonjwa Amana kwa kadi
KATIBU wa Afya wa Hospitali ya Amana, Zamzam Ndossy amesema kwa kwa sasa wameanzisha utaratibu wa kuona wagonjwa katika hospitali hiyo kwa kutumia karatasi yenye namba. Akizungumza na Tanzania Daima...
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Marais kuingia kwa kadi mazishi ya Mandela
p>TISHIO la vitendo vya kigaidi vinavyotokea kwenye maeneo mbalimbali hapa duniani, vimeifanya Serikali ya Afrika Kusini, kutoa kadi kwa marais na viongozi watakaohudhuria mazishi ya baba wa taifa hilo, Nelson...
10 years ago
BBCSwahili25 Jan
Ronaldo apewa kadi nyekundu kwa kupigana
Mchezaji nyota wa Real Madrid alipewa kadi nyekundi katika mechi dhidi Cordoba baada ya kumpiga mchezaji Edimar.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania