Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM waomba radhi kumshambulia mwandishi

Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara, kimeomba radhi kwa chama cha waandishi wa habari mkoani humo (MRPC) kutokana na kitendo kilichofanywa na wafuasi wa chama hicho tawala, kwa kumpiga mwandishi wa habari wa gazeti hili na kusema kuwa waliohusika watachukuliwa hatua.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

CCM yamwomba radhi mwandishi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara kimeomba radhi kwa Chama cha Waandishi wa Habari mkoani Mara (MRPC) kutokana na kitendo kinachodaiwa kufanywa na wafuasi wa chama hicho, kwa kumpiga mwandishi...

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge wataka mwandishi aombe radhi

Rais Jakaya KikweteWABUNGE nchini wamesema habari ya Gazeti la Uingereza la Daily Mail on Sunday kuwa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete inafumbia macho ujangili ni upotoshaji na serikali inapaswa kumtaka mwandishi huyo aombe radhi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCM iomba radhi aibu ya Makonda

KATIBU wa Uhamasishaji na Chipukizi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Paul Makonda amefanya tukio la iabu na fedheha kwake na chama chake la kumfanyia...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti CCM amtaka DC amwombe radhi

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Rorya mkoani Mara, Samwel Kiboye, amempa siku saba Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Elias Goloi kumwomba radhi kwa madai ya kusema kuwa anaweza kutumia ngumi na mateke kumwadhibu yeye na mbunge wa jimbo hilo kwa kuwatuhumu wanahimiza wananchi kugomea kulipa ushuru.

 

10 years ago

Mtanzania

CCM wilayani Ilemela waomba suluhu

Na John Maduhu, Mwanza

BAADHI ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamemtaka Katibu mpya wa chama hicho, Miraj Mtaturu, kuingilia kati na kukomesha ubabe na vitisho vinavyofanywa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilemela, Nelson Mesha, ili kukinusuru chama hicho.

Wakizungumza na MTANZANIA jana, baadhi ya wanachama wa CCM walisema wamechoshwa na ubabe na vitisho vinavyofanywa na Mesha, hali inayotishia uhai wa chama, huku wakimtuhumu kiongozi huyo kutokuwa karibu na viongozi wenzake wa...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yamtimua mwandishi wa Mwananchi kwa Magufuli

Mwandishi wa gazeti la Mwananchi, Peter Elias ameondolewa kwenye kikosi cha waandishi wa habari wanaoandika habari za kampeni za uchaguzi za mgombea wa CCM, Dk John Magufuli kwa madai kuwa aliandika habari isiyostahili.

 

10 years ago

Habarileo

CCM waomba polisi kupewa vitendea kazi

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watendaji wa Serikali wilayani Kyerwa mkoani Kagera wameishauri na kuiomba Serikali kuboresha na kuongeza vitendea kazi ikiwemo magari ya Polisi kwa ajili ya kufanyia doria ili kudhibiti magendo ya rasilimali za nchi zinazovushwa na baadhi ya Watanzania wasiokuwa wazalendo.

 

5 years ago

CCM Blog

KINANA ONYESHA UKOMAVU KATIKA SIASA, AMUOMBA RADHI MWENYEKITI WA CCM RAIS DK. MAGUFULI

CCM Blog, Arusha
Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana (pichani) amemuomba radhi Mwenyekiti wa CCM Rais Dk.John Magufuli kwa kauli mbalimbali alizotoa hadi Chama kulazimika kumpa adhabu hivi karibuni.

Kinana alitoa tamko la kumuomba radhi Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. Magufuli, alipozungumza na Waandishi wa habari baada ya kukutanha na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa mkoa huo Zelothe Stephen na kufanya mazungumzo naye katika ofisi za CCM mkoa wa Arusha leo.

Katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani