Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM wilayani Ilemela waomba suluhu

Na John Maduhu, Mwanza

BAADHI ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamemtaka Katibu mpya wa chama hicho, Miraj Mtaturu, kuingilia kati na kukomesha ubabe na vitisho vinavyofanywa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilemela, Nelson Mesha, ili kukinusuru chama hicho.

Wakizungumza na MTANZANIA jana, baadhi ya wanachama wa CCM walisema wamechoshwa na ubabe na vitisho vinavyofanywa na Mesha, hali inayotishia uhai wa chama, huku wakimtuhumu kiongozi huyo kutokuwa karibu na viongozi wenzake wa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wananchi Ilemela waomba kujengewa kituo cha polisi

Kufuatia matukio ya uhalifu kujitokeza mara kwa mara Kata ya Buswelu, wilayani Ilemela, mkoani Mwanza, baadhi ya wakazi wa eneo hilo wameitaka polisi kuwajengea kituo na kuimarisha doria.

 

10 years ago

Vijimambo

Radi yawajeruhi wanafunzi 17 Wilayani Ilemela jijini Mwanza

Wanafunzi 17 wa Shule ya Sekondari Kabuholo wilayani Ilemela jijini Mwanza, wamejeruhiwa na radi kufuatia mvua kubwa ilioyonyeshwa jijini humo kwa saa moja.Tukio hilo lilitokea jana saa 1.45 asubuhi wakati radi hiyo ilipowapiga wanafunzi wa kidato cha nne 15, mmoja kidato cha tatu na mwingine kidato cha kwanza.

Akizungumza na mwandishi wetu jana, Mwalimu wa mazingira wa shule hiyo, Humphrey Massawe, alisema tukio hilo lilitokea wakati wanafunzi hao wakiwa darasani huku mvua kubwa
ikiendelea...

 

11 years ago

Michuzi

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais atembelea shule ya Sekondari Lumala,Wilayani Ilemela Mkoa wa Mwanza

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Angelina Madete (kulia) akipata taarifa kutoka kwa mkuu wa shule ya Sekondari Lumala iliyoko Wilayani Ilemela katika Mkoa wa Mwanza Bw. Christopha kuhusu mradi wa miche iliyopandwa katika shule hiyo.kwenye ziara ya wiki ya Mazingira Duniani. Baadhi ya walimu wa shule ya Sekondari Lumala wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na Naibu Katibu Mkuu (hayupo pichani)kuhusu masuala ya utunzaji Mazingira na upandaji miti. Naibu Katibu...

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA SULUHU ASIMIKWA UMALKIA WILAYANI MASWA, WAMWITA NGOLE

Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (kulia) akisimikwa kuwa Malkia wa Wasukuma Wilaya ya Maswa na akinamama wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania ya CCM (UWT) alipowasili Jimbo la Maswa Mashariki kufanya mkutano wa hadhara wa kampeni kunadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa wanaMaswa. 
Aliyekuwa mbunge wa CCM Jimbo la Nkenge, Asumpta Mshama akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara Uwanja wa Nguzo Nane Maswa leo.MGOMBEA mwenza wa...

 

9 years ago

GPL

MAMA SAMIA SULUHU ASIMIKWA UMALKIA WILAYANI MASWA, WAMWITA NGOLE‏

Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (kulia) akisimikwa kuwa Malkia wa Wasukuma Wilaya ya Maswa na akinamama wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania ya CCM (UWT) alipowasili Jimbo la Maswa Mashariki kufanya mkutano wa hadhara wa kampeni kunadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa wana Maswa.…

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Samia Suluhu aendelea na ziara ya kukagua shughuli za utunzaji wa mazingira wilayani Muheza, Tanga

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano Mh. Samia Suluhu Hassan akiweka saini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika kijiji cha UWAMAKIZI alikoenda kwenye ziara ya kukagua shughuli za utunzaji wa mazingira katika kijiji cha Bombani kilichopo wilayani Muheza mkoani Tanga. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano Mh. Samia Suluhu Hassan akiongea na baadhi ya wanakijiji wa kijiji cha Bombani wilayani Muheza mkoani Tanga alipotembelea kijijini hapo katika maadhimisho ya...

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Mwenza CCM Mama Samia Suluhu Hassan apukutisha Upinzani Lindi, 61 Wajiunga CCM, Wamo Viongozi

.
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM pamoja na wananchi viwanja vya Mnazi Mmoja.

Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu.Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa...

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA MWENZA WA CCM SAMIAH SULUHU ANADI ILANI YA CCM MWAKA 2015 KATIKA KATA YA KYENGEGE,WILAYA YA IRAMBA

Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kwa Chama cha Mapinduzi Bi.Samia Suluh akisalimiana na Mh;Mwigulu Nchemba ambaye ni mgombea Ubunge jimbo la Iramba hii leo,Bi.Samiah suluhu katika ziara yake ya kampeni ndani ya mkoa wa Singida,hii leo amefika Kata ya Kyengege Jimbo la Iramba kwaajili ya kunadi Ilani ya CCM ya uchaguzi ya Mwaka 2015 na kuomba kura za kishindo kwa nafasi zote za Udiwani,Ubunge na Urais ifikapo Tar.25.10.2015
Bi.Samiah Suluhu ambaye ni Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

CCM waomba radhi kumshambulia mwandishi

Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara, kimeomba radhi kwa chama cha waandishi wa habari mkoani humo (MRPC) kutokana na kitendo kilichofanywa na wafuasi wa chama hicho tawala, kwa kumpiga mwandishi wa habari wa gazeti hili na kusema kuwa waliohusika watachukuliwa hatua.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani